Mwanamke hata umfanyie Haya yote, Ila Tambua...

Labda umwambie kwamba you are speaking from your personal experience i.e from the kind of life that you have gone through in the past few years before being a born again beautiful lady. On top of that tell him that you have been to hell and back.
 
Ongeza Volume baba Tukusikie
 
Siyo sifa lakini
Hamna sifa hapo.
Tunazungumzia tabia
Tunazungumzia utamaduni
Tunazungumzia uhalisia.

Sema mapenzi yametawaliwa na usiri. Maybe ndo maana unashangaa Hayaaaa🤗🤗🙅🙅
 
Haya Kaka
Hamna sifa hapo.
Tunazungumzia tabia
Tunazungumzia utamaduni
Tunazungumzia uhalisia.

Sema mapenzi yametawaliwa na usiri. Maybe ndo maana unashangaa Hayaaaa[emoji847][emoji847][emoji135][emoji135]
 
Kwanini Mungu alimruhusu shetani kuja duniani? au alimruhusu kuja kwa madhumuni gani ilihali yeye ndio adui yake mkuu?

Na kwanini kama alijua hayo yote yatatokea hakuyazuia na badala yake akayaacha yakaleta madhara ambayo imedumu mpaka leo?

Na pia kwanini atake kuthibitisha kuwa binadamu wana mpenda ilihali ni viumbe alivyoviumba mwenyewe na ni dhairi anavifahamu kiundani kuliko hata viumbe vyenyewe vinavyojifahamu?

Kuna mtu humu anaitwa Kiranga akiona hii comment yako ata tabasamu maana hii illogical fallacy ulioandika hapa ina justify imani yake!
Ndiyo nilichogundua ni kwamba wanaume wengi mnataka dunia ambayo wanawake wote watakuwa wapole na wanaume wote mtakuwa wahuni
Huu ni uongo na upotoshaji wa hali ya juu
yaani huwa mnajisikia raha na fahari fulani hivi pale mnapowakosea wanawake halafu wanawasamehe tu bila kuwafanya chochote
Acha uongo wewe mwanamke hata aibu haoni kaone kwanza[emoji21]
eti mnafikia hatua ya kulazimisha na kudanganya kabisa kwamba mwanamke aliumbwa kuwa mpole na mwanaume aliumbwa kuwa mhuni
Tuuuu!!! ungekuwa karibu ningekunasa kofi au kukutemea makoozi kabisa! wanaume wa wapi hao unawaongelea hapa?
 

Basi kama haya unayoandika humu ni kutokana na personal experience kutoka kwa wanaume uliowahi kuwa nao, una feli sana kuwatumia hao kama representative sample ya wanaume wote! kwanza hao ni wanaume wa ovyo na wako wachache sana!

Achana na wanaume wa ovyo mama. Wapo wanaume wengi tu wasiokuwa na hizo tabia za ajabu ajabu unazozielezea humu na kufanya zionekane ni za wanaume wote!

Bora upite hata watu kama Zero IQ[emoji57][emoji57]
 
Mbona hata wewe huwa unaconclude kuwa wanawake Ni wasumbufu kwa kutumia sample zako chache!??
 
Pole sana Lizarazu, looks like you know nothing about God and you know nothing about scriptures yaani wewe na huyo Kiranga hamna tofauti ila sema tu Kiranga siyo mnafiki anasema tu ukweli kuwa hamuamini Mungu ila wewe mnafiki unajifanya unamuamini Mungu kumbe wale wale tu na ndiyo maana ile siku ulisema kuwa baadhi ya maandiko yamefanyiwa mabadiliko eti kwa sababu hayapo kama unavyotaka wewe.

Hebu nikuulize swali hivi nilipokwambia kuwa Mungu alitaka kuthibitisha kama watu wanampenda kweli nilisema anataka kujithibitishia mwenyewe? Kumbuka Mungu hayuko peke yake mbinguni yuko na viumbe vingine wakiwemo malaika na kama tunavyojua hakuna malaika aliyeshiriki katika uumbaji hivyo hakuna malaika anayemjua binadamu kiundani yeye Mungu anajua ni kina nani wanampenda kweli na kina nani hawampendi kweli ila je malaika watajuaje na wataaminije?

God is fair and democratic to ALL his creatures including satan hivyo hataki wale malaika wabaki na maswali eti ili tu awafurahishe binadamu so what he does anamruhusu shetani atujaribu wanadamu then kupitia hayo majaribu ataprove kwa malaika na shetani mwenyewe kuwa ni binadamu wepi wanampenda kutoka moyoni na ni binadamu wepi hawampendi kutoka moyoni na wakati mwingine huwa hafanyi kwa ajili ya malaika tu anafanya kwa ajili ya shetani mwenyewe hivi hata unajua kuwa hadi leo Mungu na shetani huwa wanaongea? Ofcourse uhusiano kati ya Mungu na shetani utakufa baada ya hukumu

Ila kwa sasa bado shetani ni mshitaki wetu namba moja kila tunachofanya hasa hasa dhambi anamfuata Mungu kwenda kutushitaki na kumwambia Mungu asimamie neno lake and since Mungu siyo muongo na hapendi kuonekana muongo kwamba maneno yake mwenyewe yamfunge huwa anamruhusu shetani atujaribu na ndiyo maana wanadamu tunaambiwa majaribu ni sehemu ya maisha yetu na hakuna binadamu anayejitambua ataacha kujaribiwa refer story ya Ayubu kaisome kuanzia mwanzo hadi mwisho na uielewe ndiyo utajua kwanini Mungu anaruhusu maswahibu yote haya duniani japo yeye hayafurahii hivi unadhani Mungu ni dictator kama wanaume wa kibongo? Halafu wewe inaonekana lengo lako siyo kujua bali kubisha yaani haujui kitu kuhusu haya na wala hautaki kujua, pitty. Na ninajua yote haya utajifanya haujaelewa na utabisha tu kwa sababu ni kawaida yako na unapenda kubisha maana kama tu umeshindwa kuiamini bible yote ndiyo utaiamini comment yangu? Msalimie atheist mwenzio Kiranga!
 
Huyu sio atheist Wala Nini..
Anatafuta pa kujifichia baada ya kuishiwa hoja kabisa... Na amemtaja kiranga ili abadili Mada..bahati nzuri huyo kiranga Wala hajakuja kumsaidia[emoji2].
 
Sasa Lizarazu kwa mujibu wa maneno yako mimi na wewe tuna tofauti gani hapo? Mbona hata wewe maovu ya baadhi ya wanawake huwa unatuponda wanawake wote? Au kwako wewe wanaume ndiyo kuna wazuri na wabaya ila wanawake wote ni wabaya hakuna wazuri? Na kama umenielewa nimesema nimetolea mifano ya mahusiano niliyoyashuhudia kwa watu wengine siyo kwangu mimi tu wanaume niliotembea nao mimi hawafiki hata wanne na kati yao siyo wote walikuwa wana matatizo sasa nitawatoleaje hao kama mfano?

Nina ndugu na jamaa zangu wengi ambao wapo kwenye uchumba na ndoa na hao tu ni mifano tosha kwangu siwezi kuyaangalia mahusiano yangu mimi tu lazima niangalie na ya wengine na mbona watu wengi tu humu wanabadilishwa mitazamo kupitia mahusiano ya watu wengine? Kwahiyo mimi kuwaponda wanaume wote (kwa mujibu wa maneno yako) ni kosa ila wewe kuwaponda wanawake wote ni sawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…