Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]mafurushi makubwa
Mwingine huyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwingine huyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nawasubiri kwa hamu yaani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Lizarazu[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]mafurushi makubwa
Labda umwambie kwamba you are speaking from your personal experience i.e from the kind of life that you have gone through in the past few years before being a born again beautiful lady. On top of that tell him that you have been to hell and back.Hivi Lizarazu unadhani unamdanganya nani unavyopinga hivyo? Mimi nimeshasema siwezi kuamini maneno yako wewe mwanaume mmoja ya kupinga hayo ninayoyaongea wakati mimi mwenyewe nimeshayashuhudia kwa macho yangu kwenye mahusiano mengi kutoka kwa wanaume wengi I always speak from experience and not assumptions!
Wewe siwezi kukuacha, hata uwe na kadi ya ccm sitakuacha.Achana na mimi wewe
Wanawake wengi hasa waliokulia uswahilini ni talktive by nature.Sasa kama hujapanic ni kitu gani kinakutoa povu mamii[emoji16][emoji16][emoji16]
Kuna msemo huwa una tumiwa na mabaharia kuwa "Ukianza kuwaelewa wanawake wanachohitaji kwenye maisha yao Basi ujue unakaribia kufa"
Ni Mara kibao nimekutana na Matajiri wengi wakilia sana kisa mapenzi,Ila cha ajabu wanawake wanadai mapenzi ni pesa,Sasa huwa najiuliza ni kitu gani huwafanya matajiri hawa kulia licha ya kuwahudumia wanawake wao kwa kila kitu,
Ndo nikagundua haya[emoji116][emoji116]
[emoji117]Ukimnunulia simu mpenzi wako tambua kuwa sisi tutampigia video call usiku na atatuonyesha chupi aliyo vaa tena uliyo mnunulia wew,,Usipanic bro,ni kiherehere chako.
[emoji117]Ukimpangishia nyumba,Tambua sisi tutaingia humo na kumkaza vizuri tena na maji tutaoga,,,Acha kulia,jifute machozi bro ni sifa zako zimekuponza.
[emoji117]Ukimnunulia gari tambua kuna bishoo flani utakutana nalo linaliendesha, tena likiwa na demu mwingne,,,,Tulia fala wew nikueleze.
[emoji117]Mwanamke ukizidisha kumhonga kumbuka ndo mwanzo wa kukudharau mpaka kukuita majina ya ajabu mbele za mashoga zake,,,,Acha ufala bro,hzo pesa jenga nyumba upangishe.
[emoji117]Wanawake wakiwa mbele za watu uta wasikia "Eti oooh mwanaume pochi bhana ma-six packs yanini" Huku wakiona mwanaume mwenye six packs akili zina wahama,Bro nikwambie tu ukweli,kama mwanaume kakupendea pesa ila tambua lzm awe na kijana aliyejazia wakufanyia show off kwa mashoga zake,,,Tulia nikupe maujanja pimbi wew.
[emoji117]Hii Dunia ya sasa kitu cha kujivunia ni nguvu za kiume Alafu pesa,ukiwa navyo hvyo vitu viwili basi ujue hii Dunia ni yako,,,,Sasa kunguni wew jifanye kutafuta pesa tu huku nguvu za kiume huna,hzo pesa zitaishia kwa mabisho wenye six packs.
Volume iko Sawa huko,,,,??
Hamna sifa hapo.Siyo sifa lakini
Labda umwambie kwamba you are speaking from your personal experience i.e from the kind of life that you have gone through in the past few years before being a born again beautiful lady. On top of that tell him that you have been to hell and back.
Hamna sifa hapo.
Tunazungumzia tabia
Tunazungumzia utamaduni
Tunazungumzia uhalisia.
Sema mapenzi yametawaliwa na usiri. Maybe ndo maana unashangaa Hayaaaa[emoji847][emoji847][emoji135][emoji135]
Kwanini Mungu alimruhusu shetani kuja duniani? au alimruhusu kuja kwa madhumuni gani ilihali yeye ndio adui yake mkuu?Ndiyo, Mungu alipomruhusu shetani kuja duniani alijua kabisa yote yatakayokuja kutokea maana yeye ndiyo anaujua mwanzo na anaujua mwisho na alikuwa na au ana uwezo wa kuzuia yote haya ila aliruhusu yote yatokee kwa sababu alitaka kuthibitisha ni kina nani wanampenda kweli kutoka moyoni ni maelezo marefu kukuelewesha hadi uelewe ila nimeona nikuelezee kwa kifupi tu.
Huu ni uongo na upotoshaji wa hali ya juuNdiyo nilichogundua ni kwamba wanaume wengi mnataka dunia ambayo wanawake wote watakuwa wapole na wanaume wote mtakuwa wahuni
Acha uongo wewe mwanamke hata aibu haoni kaone kwanza[emoji21]yaani huwa mnajisikia raha na fahari fulani hivi pale mnapowakosea wanawake halafu wanawasamehe tu bila kuwafanya chochote
Tuuuu!!! ungekuwa karibu ningekunasa kofi au kukutemea makoozi kabisa! wanaume wa wapi hao unawaongelea hapa?eti mnafikia hatua ya kulazimisha na kudanganya kabisa kwamba mwanamke aliumbwa kuwa mpole na mwanaume aliumbwa kuwa mhuni
Hivi Lizarazu unadhani unamdanganya nani unavyopinga hivyo? Mimi nimeshasema siwezi kuamini maneno yako wewe mwanaume mmoja ya kupinga hayo ninayoyaongea wakati mimi mwenyewe nimeshayashuhudia kwa macho yangu kwenye mahusiano mengi kutoka kwa wanaume wengi I always speak from experience and not assumptions!
Tangu nikufahamu kwa mara ya kwanza tukiwa shule sijawahi kukuzoea mpenzi. Labda kuanzia sasa nianze kukuzoea.Umenizoea siyo?
OkWale wale
Mbona hata wewe huwa unaconclude kuwa wanawake Ni wasumbufu kwa kutumia sample zako chache!??Basi kama haya unayoandika humu ni kutokana na personal experience kutoka kwa wanaume uliowahi kuwa nao, una feli sana kuwatumia hao kama representative sample ya wanaume wote! kwanza hao ni wanaume wa ovyo na wako wachache sana!
Achana na wanaume wa ovyo mama. Wapo wanaume wengi tu wasiokuwa na hizo tabia za ajabu ajabu unazozielezea humu na kufanya zionekane ni za wanaume wote!
Bora upite hata watu kama Zero IQ[emoji57][emoji57]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kunguni wenzio wamekusikia
Pole sana Lizarazu, looks like you know nothing about God and you know nothing about scriptures yaani wewe na huyo Kiranga hamna tofauti ila sema tu Kiranga siyo mnafiki anasema tu ukweli kuwa hamuamini Mungu ila wewe mnafiki unajifanya unamuamini Mungu kumbe wale wale tu na ndiyo maana ile siku ulisema kuwa baadhi ya maandiko yamefanyiwa mabadiliko eti kwa sababu hayapo kama unavyotaka wewe.Kwanini Mungu alimruhusu shetani kuja duniani? au alimruhusu kuja kwa madhumuni gani ilihali yeye ndio adui yake mkuu?
Na kwanini kama alijua hayo yote yatatokea hakuyazuia na badala yake akayaacha yakaleta madhara ambayo imedumu mpaka leo?
Na pia kwanini atake kuthibitisha kuwa binadamu wana mpenda ilihali ni viumbe alivyoviumba mwenyewe na ni dhairi anavifahamu kiundani kuliko hata viumbe vyenyewe vinavyojifahamu?
Kuna mtu humu anaitwa Kiranga akiona hii comment yako ata tabasamu maana hii illogical fallacy ulioandika hapa ina justify imani yake!Huu ni uongo na upotoshaji wa hali ya juuAcha uongo wewe mwanamke hata aibu haoni kaone kwanza[emoji21]
Tuuuu!!! ungekuwa karibu ningekunasa kofi au kukutemea makoozi kabisa! wanaume wa wapi hao unawaongelea hapa?
Huyu sio atheist Wala Nini..Pole sana Lizarazu, looks like you know nothing about God and you know nothing about scriptures yaani wewe na huyo Kiranga hamna tofauti ila sema tu Kiranga siyo mnafiki anasema tu ukweli kuwa hamuamini Mungu ila wewe mnafiki unajifanya unamuamini Mungu kumbe wale wale tu na ndiyo maana ile siku ulisema kuwa baadhi ya maandiko yamefanyiwa mabadiliko eti kwa sababu hayapo kama unavyotaka wewe.
Hebu nikuulize swali hivi nilipokwambia kuwa Mungu alitaka kuthibitisha kama watu wanampenda kweli nilisema anataka kujithibitishia mwenyewe? Kumbuka Mungu hayuko peke yake mbinguni yuko na viumbe vingine wakiwemo malaika na kama tunavyojua hakuna malaika aliyeshiriki katika uumbaji hivyo hakuna malaika anayemjua binadamu kiundani yeye Mungu anajua ni kina nani wanampenda kweli na kina nani hawampendi kweli ila je malaika watajuaje na wataaminije?
God is fair and democratic to ALL his creatures including satan hivyo hataki wale malaika wabaki na maswali eti ili tu awafurahishe binadamu so what he does anamruhusu shetani atujaribu wanadamu then kupitia hayo majaribu ataprove kwa malaika na shetani mwenyewe kuwa ni binadamu wepi wanampenda kutoka moyoni na ni binadamu wepi hawampendi kutoka moyoni na wakati mwingine huwa hafanyi kwa ajili ya malaika tu anafanya kwa ajili ya shetani mwenyewe hivi hata unajua kuwa hadi leo Mungu na shetani huwa wanaongea? Ofcourse uhusiano kati ya Mungu na shetani utakufa baada ya hukumu
Ila kwa sasa bado shetani ni mshitaki wetu namba moja kila tunachofanya hasa hasa dhambi anamfuata Mungu kwenda kutushitaki na kumwambia Mungu asimamie neno lake and since Mungu siyo muongo na hapendi kuonekana muongo kwamba maneno yake mwenyewe yamfunge huwa anamruhusu shetani atujaribu na ndiyo maana wanadamu tunaambiwa majaribu ni sehemu ya maisha yetu na hakuna binadamu anayejitambua ataacha kujaribiwa refer story ya Ayubu kaisome kuanzia mwanzo hadi mwisho na uielewe ndiyo utajua kwanini Mungu anaruhusu maswahibu yote haya duniani japo yeye hayafurahii hivi unadhani Mungu ni dictator kama wanaume wa kibongo? Halafu wewe inaonekana lengo lako siyo kujua bali kubisha yaani haujui kitu kuhusu haya na wala hautaki kujua, pitty. Na ninajua yote haya utajifanya haujaelewa na utabisha tu kwa sababu ni kawaida yako na unapenda kubisha maana kama tu umeshindwa kuiamini bible yote ndiyo utaiamini comment yangu? Msalimie atheist mwenzio Kiranga!
Basi kama haya unayoandika humu ni kutokana na personal experience kutoka kwa wanaume uliowahi kuwa nao, una feli sana kuwatumia hao kama representative sample ya wanaume wote! kwanza hao ni wanaume wa ovyo na wako wachache sana!
Achana na wanaume wa ovyo mama. Wapo wanaume wengi tu wasiokuwa na hizo tabia za ajabu ajabu unazozielezea humu na kufanya zionekane ni za wanaume wote!
Bora upite hata watu kama Zero IQ[emoji57][emoji57]
Tangu nikufahamu kwa mara ya kwanza tukiwa shule sijawahi kukuzoea mpenzi. Labda kuanzia sasa nianze kukuzoea.