Mwanamke hata umfanyie Haya yote, Ila Tambua...

Yaani wanawake tukiwaponda wanaume tuna stress ila wanaume mkiwaponda wanawake ni sawa? Kazi ipo!
dont stress yourself the thing is love have two faces the good one and the bad one and everyone have face it either of the two faces so anybody whether its a woman or man have right to talk and it depends of what face of love did they see...ndo maana utakuta mwanaume anacomplain yake na mwanamke naye anacomplain yake but the truth is love is beautiful its the people who make it looks bad
 
Siyo wapumbavu, wanafanya hivyo kwa sababu wanajua kuwa duniani binadamu tunatofautiana siyo watu wote ni wazuri na siyo watu wote ni wabaya ukitendwa na mwanaume mmoja au mwanamke mmoja haimaanishi kuwa wanaume au wanawake wengine wote wako hivyo ninyi wanaume ndiyo mnalazimisha huo msemo wa sijui baba mmoja sijui wote wale wale kwa mitazamo hiyo lazima muishie kuwa malaya tu hamna namna
 
you dont know how a man minds works ni tofauti sana na unavofikiria na usije kuwaamini tumeumbwa na roho ngumu ..tofauti na mwanamke
 
Naona umejaribu kukwepa swali langu ndugu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
I might be a woman but I know a lot about men

Yaani wanaume mmeshajiwekea kwamba mkiwa kwenye mahusiano basi mwanamke anatakiwa awe malaika yaani asikukosee wala asikasirike yaani muda wote awe sawa na mwenye furaha ili akupetpet na akuliwaze wewe tu hata kama umemkwaza au umemfokea yeye atabasamu na acheke tu

Na ikitokea kipindi anakuwa kinyume na hivyo basi tayari anaanza kuonekana mjeuri na kiburi kwamba analeta dharau na kejeli hivyo hafai kuwa mke na anastahili kuchezewa

Ila mwanaume hata akiwa malaya, mkorofi, mnyanyasaji na asiyejali haina shida na mwanamke anatakiwa amvumilie tu maana yeye ni mwanaume na yuko tofauti na mwanamke, ndicho wanaume wengi wa kibongo mnachokitaka kwenye uchumba na ndoa hicho
you dont know how a man minds works
 
ndo maana nakwambia huelewi mind ya mwanaume inavofanya kazi
 
Kwani ni wanawake wangapi wanaendeshwa ki-hitler na bado wana mazoea na dharau kwa waume zao na ni wanawake wangapi wanaendeshwa kidemokrasia na bado wana mapenzi na heshima kwa waume zako? Kaa ukijua unavyompiga au kumnyanyasa mkeo unamuwekea vinyongo moyoni

Usidhani yeye ni Mungu kwamba atasamehe kila unalomfanyia bila kukufanya chochote kwanza hata Mungu mwenyewe kuna dhambi huwa anazitolea adhabu ndipo anasamehe sasa itakuwaje kwa mwanamke yaani eti unamfanyia hayo yote halafu unamuona anaendelea kukutabasamia na kukuchekea? Lazima ujiulize!
Tukiwalegezea mnaleta mazoea na dharau
 
Sasa unataka nikuamini wewe mmoja unayepinga hayo tena kwa maneno tu wakati mimi hayo niliyoyaandika nimeshayashuhudia kwa wanaume wengi tena kwa vitendo? Yaani wanaume huwa hamkubali tuwaambie ukweli ila matendo yenu huwa yanathibitisha kila kitu!
ndo maana nakwambia huelewi mind ya mwanaume inavofanya kazi
 
Mleta uzi, umesahau ku acknowledge ulikotoa hayo madini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…