1. Wanawake wanaotoa mimba au wanaoua watoto hawana tofauti na Wanaume wanaokataa mimba au wanaotelekeza watoto
2. Wanawake wasagaji hawana tofauti na Wanaume mashoga
3. Wanawake wanaokataa Wanaume kwa sababu ya umasikini (wa pesa na mali) hawana tofauti na Wanaume wanaokataa Wanawake kwa sababu ya ubaya (wa sura na umbo)
4. Wanawake wanaowaacha Wanaume waliowasomesha hawana tofauti na Wanaume wanaowaacha Wanawake waliochuma nao mali
5. Wanawake wanaochepuka hawana tofauti na Wanaume wanaochepuka
6. Wanawake wanaojiuza hawana tofauti na Wanaume wanaowanunua
7. Wanawake waliozaa nje ya ndoa hawana tofauti na Wanaume waliozaa nje ya ndoa
8. Wanawake wanaotaja sifa za Wanaume wanaowataka hawana tofauti na Wanaume wanaotaja sifa za Wanawake wanaowataka
9. Wanawake wanaopenda kuhudumiwa (kutafutiwa pesa) na Wanaume wao hawana tofauti na Wanaume wanaopenda kulelewa (kufanyiwa kazi za ndani) na Wanawake wao
10. Wanawake wanaopenda kutembea na mijibaba au sugardaddies hawana tofauti na Wanaume wanaopenda kutembea na mijimama au sugarmummies
11. Wanawake wanaofuata pesa tu kwa Wanaume hawana tofauti na Wanaume wanaofuata papuchi tu kwa Wanawake
12. Wanawake wanaotembea na Waume za watu hawana tofauti na Wanaume wanaotembea na Wake za watu
Niendelee?..
Haya hayo yote ni maovu yanayofanywa na baadhi ya Wanawake na Wanaume ulimwenguni kote tumeona kwamba jinsia zote zina maovu yake na yanalingana sasa kwanini ninyi mnaona kama vile ya kwetu ni mengi na makubwa sana ila ya kwenu ni machache na madogo sana kwanini?
CC:
Extrovert Lizarazu Khan Jokajeusi ruby garnet et al