Mwanamke hata umfanyie Haya yote, Ila Tambua...

1. Wanawake wanaotoa mimba au wanaoua watoto hawana tofauti na Wanaume wanaokataa mimba au wanaotelekeza watoto

2. Wanawake wasagaji hawana tofauti na Wanaume mashoga

3. Wanawake wanaokataa Wanaume kwa sababu ya umasikini (wa pesa na mali) hawana tofauti na Wanaume wanaokataa Wanawake kwa sababu ya ubaya (wa sura na umbo)

4. Wanawake wanaowaacha Wanaume waliowasomesha hawana tofauti na Wanaume wanaowaacha Wanawake waliochuma nao mali

5. Wanawake wanaochepuka hawana tofauti na Wanaume wanaochepuka

6. Wanawake wanaojiuza hawana tofauti na Wanaume wanaowanunua

7. Wanawake waliozaa nje ya ndoa hawana tofauti na Wanaume waliozaa nje ya ndoa

8. Wanawake wanaotaja sifa za Wanaume wanaowataka hawana tofauti na Wanaume wanaotaja sifa za Wanawake wanaowataka

9. Wanawake wanaopenda kuhudumiwa (kutafutiwa pesa) na Wanaume wao hawana tofauti na Wanaume wanaopenda kulelewa (kufanyiwa kazi za ndani) na Wanawake wao

10. Wanawake wanaopenda kutembea na mijibaba au sugardaddies hawana tofauti na Wanaume wanaopenda kutembea na mijimama au sugarmummies

11. Wanawake wanaofuata pesa tu kwa Wanaume hawana tofauti na Wanaume wanaofuata papuchi tu kwa Wanawake

12. Wanawake wanaotembea na Waume za watu hawana tofauti na Wanaume wanaotembea na Wake za watu

Niendelee?..

Haya hayo yote ni maovu yanayofanywa na baadhi ya Wanawake na Wanaume ulimwenguni kote tumeona kwamba jinsia zote zina maovu yake na yanalingana sasa kwanini ninyi mnaona kama vile ya kwetu ni mengi na makubwa sana ila ya kwenu ni machache na madogo sana kwanini?

CC: Extrovert Lizarazu Khan Jokajeusi ruby garnet et al
Sisi sio Kama nyie
 
Yaani wanawake tukiwaponda wanaume tuna stress ila wanaume mkiwaponda wanawake ni sawa? Kazi ipo!
hapana sijawaponda au sijakuponda ila nadhani wanaume huwa hawana muda wa kuweka vinyongo kwenye akili mwanamke anaweza kuwa kwenye mahusiano miaka mitatu au miwili iliyopita ila akipata mwanaume mpya ana anza kumpelekesha na kukasirika kila mara kwasababu ya aliyopitia na mtu mwingine
Screenshot_20190818-191501_WhatsApp.jpeg
 
Tatizo nyinyi hamueleweki mnachotaka nikiwa na Pesa mapenzi unapewa na mwingine bora mwingine akupe Pesa mi nakupa mapenz
Ndiyo kwanini uchague kumpa mapenzi na usichague kumpa pesa? Si kwa sababu unajua mapenzi ni rahisi kutoa kuliko pesa kwa vile mapenzi hayatafutwi kama pesa?
 
1. Wanawake wanaotoa mimba au wanaoua watoto hawana tofauti na Wanaume wanaokataa mimba au wanaotelekeza watoto

2. Wanawake wasagaji hawana tofauti na Wanaume mashoga

3. Wanawake wanaokataa Wanaume kwa sababu ya umasikini (wa pesa na mali) hawana tofauti na Wanaume wanaokataa Wanawake kwa sababu ya ubaya (wa sura na umbo)

4. Wanawake wanaowaacha Wanaume waliowasomesha hawana tofauti na Wanaume wanaowaacha Wanawake waliochuma nao mali

5. Wanawake wanaochepuka hawana tofauti na Wanaume wanaochepuka

6. Wanawake wanaojiuza hawana tofauti na Wanaume wanaowanunua

7. Wanawake waliozaa nje ya ndoa hawana tofauti na Wanaume waliozaa nje ya ndoa

8. Wanawake wanaotaja sifa za Wanaume wanaowataka hawana tofauti na Wanaume wanaotaja sifa za Wanawake wanaowataka

9. Wanawake wanaopenda kuhudumiwa (kutafutiwa pesa) na Wanaume wao hawana tofauti na Wanaume wanaopenda kulelewa (kufanyiwa kazi za ndani) na Wanawake wao

10. Wanawake wanaopenda kutembea na mijibaba au sugardaddies hawana tofauti na Wanaume wanaopenda kutembea na mijimama au sugarmummies

11. Wanawake wanaofuata pesa tu kwa Wanaume hawana tofauti na Wanaume wanaofuata papuchi tu kwa Wanawake

12. Wanawake wanaotembea na Waume za watu hawana tofauti na Wanaume wanaotembea na Wake za watu

Niendelee?..

Haya hayo yote ni maovu yanayofanywa na baadhi ya Wanawake na Wanaume ulimwenguni kote tumeona kwamba jinsia zote zina maovu yake na yanalingana sasa kwanini ninyi mnaona kama vile ya kwetu ni mengi na makubwa sana ila ya kwenu ni machache na madogo sana kwanini?

CC: Extrovert Lizarazu Khan Jokajeusi ruby garnet et al
namba 11 hapo ndio huwa mnafeli wakina dada au wanawake kila kitu unachofanyiwa basi akili ina fyatua malipo ni kugawa uchi.

kama wewe ndio umeandika hiyo inabidi utoe mindset kila kitu ukifanyiwa basi wewe lazima ugawe jijenge fikra ukikopeshwa lipa ukifanyiwa hiki shukuru tambaa zako au uwe na time sasa mtu kakukopesha hutaki kurudisha unataka ulete mvutano mpaka uombwe papuchi.

sio sahihi.
 
hapana sijawaponda au sijakuponda ila nadhani wanaume huwa hawana muda wa kuweka vinyongo kwenye akili mwanamke anaweza kuwa kwenye mahusiano miaka mitatu au miwili iliyopita ila akipata mwanaume mpya ana anza kumpelekesha na kukasirika kila mara kwasababu ya aliyopitia na mtu mwingineView attachment 1187378
Sasa mbona hapo umewaongelea wanaume badala ya wanawake? Kwani ni wanawake wangapi wanaachwa kila siku na bado wanaendelea kuwa na wanaume na wanawapa mapenzi yote na ni wanaume wangapi wakishaumizwa mara moja basi wanawake wote atakaowatongoza baada ya hapo wakamkubali wanakoma? Au hayo mambo tukiyafanya wanawake ni kosa ila mkiyafanya wanaume ni sawa? SMH!
 
Sasa kumbe chanzo cha hayo yote ni wanaume na siyo wanawake? Wewe mwanaume kwanini ufikirie kuomba papuchi eti kisa tu mwanamke kashindwa kulipa deni lako hivi na wanaume wenzenu wakishindwa kulipa madeni yenu huwa mnawafanya nini?

Na kuhusu mwanamke kutoa papuchi akisaidiwa hiyo mentality mliitengeneza ninyi wenyewe wanaume imagine mwanamke anakuomba msaada unamuuliza na "mimi utanisaidiaje" eti lazima tusaidiane kwahiyo na wanawake nao wanaume kumbe wanaume hadi wakusaidie ni hadi uwape papuchi sasa ikitokea akajitokeza mwanaume msamaria mwema akatoa msaada tena mkubwa lazima mwanamke ajihami kuuliza kama anataka papuchi maana anajua kuwa ndiyo kauli mbiu yenu wanaume sasa hadi hapo napo mnatulaumu tena
namba 11 hapo ndio huwa mnafeli wakina dada au wanawake kila kitu unachofanyiwa basi akili ina fyatua malipo ni kugawa uchi.

kama wewe ndio umeandika hiyo inabidi utoe mindset kila kitu ukifanyiwa basi wewe lazima ugawe jijenge fikra ukikopeshwa lipa ukifanyiwa hiki shukuru tambaa zako au uwe na time sasa mtu kakukopesha hutaki kurudisha unataka ulete mvutano mpaka uombwe papuchi.

sio sahihi.
 
1. Wanawake wanaotoa mimba au wanaoua watoto hawana tofauti na Wanaume wanaokataa mimba au wanaotelekeza watoto

2. Wanawake wasagaji hawana tofauti na Wanaume mashoga

3. Wanawake wanaokataa Wanaume kwa sababu ya umasikini (wa pesa na mali) hawana tofauti na Wanaume wanaokataa Wanawake kwa sababu ya ubaya (wa sura na umbo)

4. Wanawake wanaowaacha Wanaume waliowasomesha hawana tofauti na Wanaume wanaowaacha Wanawake waliochuma nao mali

5. Wanawake wanaochepuka hawana tofauti na Wanaume wanaochepuka

6. Wanawake wanaojiuza hawana tofauti na Wanaume wanaowanunua

7. Wanawake waliozaa nje ya ndoa hawana tofauti na Wanaume waliozaa nje ya ndoa

8. Wanawake wanaotaja sifa za Wanaume wanaowataka hawana tofauti na Wanaume wanaotaja sifa za Wanawake wanaowataka

9. Wanawake wanaopenda kuhudumiwa (kutafutiwa pesa) na Wanaume wao hawana tofauti na Wanaume wanaopenda kulelewa (kufanyiwa kazi za ndani) na Wanawake wao

10. Wanawake wanaopenda kutembea na mijibaba au sugardaddies hawana tofauti na Wanaume wanaopenda kutembea na mijimama au sugarmummies

11. Wanawake wanaofuata pesa tu kwa Wanaume hawana tofauti na Wanaume wanaofuata papuchi tu kwa Wanawake

12. Wanawake wanaotembea na Waume za watu hawana tofauti na Wanaume wanaotembea na Wake za watu

Niendelee?..

Haya hayo yote ni maovu yanayofanywa na baadhi ya Wanawake na Wanaume ulimwenguni kote tumeona kwamba jinsia zote zina maovu yake na yanalingana sasa kwanini ninyi mnaona kama vile ya kwetu ni mengi na makubwa sana ila ya kwenu ni machache na madogo sana kwanini?

CC: Extrovert Lizarazu Khan Jokajeusi ruby garnet et al
*Kwanini mliongea na shetani pale bustanini Eden?

*Kwa style hiyo unadhani ni yupi kati ya Mwanaume na Mwanamke ni chanzo cha maasi duniani?

*Ni yupi yupi kati ya Mwanaume na Mwanamke ni rafiki wa karibu sana na shetani?

*Kwanini Wanawake wengi sana husumbuliwa na mapepo?

*Kwanini Wanawake huwa wanaongoza sana kuhangaika kwa waganga wa kienyeji kutafuta dawa za mapenzi ili wawatawale Wanaume?
 
Mkuu, kwani wanaume mnapotaka wanawake wenye matiti mazuri na makalio makubwa ninyi huwa mnakuwa nayo?
Hapo umezungumzia swala lililo nje ya uwezo wa mtu kwa maana maumbile ni zaidi ya uwezo wa mtu lakini swala la kua na pesa hilo lipo ndani ya uwezo wa mtu either kuamua kuzitafuta au kutozitafuta hivyo swala la shepu?matiti mazuri lipo nje ya uwezo wa mtu...
Uwezo wa mje ya mtu kivipi? Kwani hamjui kuwa mwanaume ndiye aliyeambiwa atakula kwa jasho lake lakini mwanamke hakuambiwa hivyo? Ni jukumu la mwanaume kumhudumia mwanamke wake kiuchumi ila sema wanawake wa siku hizi tunawasaidia tu basi ndiyo mmeshaona dezo mteremko

Mmejisahau kwamba ni jukumu lenu na mmetusukumizia sisi mbona hadi leo jukumu la kufanya kazi za ndani linaoneokana ni la mwanamke peke yake ila jukumu la kutafuta pesa eti limeshaonekana ni la wote na wanaume mnadai kabisa na sisi tuanze kuwapa pesa ila sisi tukiwaambia na ninyi muanze kufanya kazi za ndani mnasema tuna dharau
Mke halali ndo anaetakiwa kuhudumiwa sio hawala,mpenzi au girlfriend mtu aliewekwa ndani na mwanaume ndo anaestahili kuhudumiwa tofauti na hapo ni fadhila tu mtu anapewa ili aweze kua na mtu huyo ndo maana unaona mwanamke akiachwa kinachomuuma sana ni kuzikosa zile huduma alizokua akipewa sio mapenzi au nini ni huduma i.e. kulipiwa kodi, hela za shopping etc
 
Wao wanasema wanataka pesa bro.
Ndo usiwachukulie serious....Ukimnunulia gari...kuna mtu anamsugu Kucha na chupi atamvua.
Utamnunulia peruvian hair ya millioni kuna msela anamnunulia mafuta ya buku 5 na atamvua chupi.
Hawajui Nini wanataka Maishani. Anaweza kutoka anaenda kununua viatu akarudi kanunua bangili (tena Mbayaaaaaa[emoji3] [emoji3] [emoji3] )
 
*Kwanini mliongea na shetani pale bustanini Eden?

*Kwa style hiyo unadhani ni yupi kati ya Mwanaume na Mwanamke ni chanzo cha maasi duniani?

*Ni yupi yupi kati ya Mwanaume na Mwanamke ni rafiki wa karibu sana na shetani?

*Kwanini Wanawake wengi sana husumbuliwa na mapepo?

*Kwanini Wanawake huwa wanaongoza sana kuhangaika kwa waganga wa kienyeji kutafuta dawa za mapenzi ili wawatawale Wanaume?
Hapana umekosea, chanzo cha maovu yote ni nyoka, nyoka ndiye aliyekubali kutumika na shetani ndipo akamshawishi Evah kula tunda na hatimaye Adam

Kama mwanamke ndiyo chanzo jiulize kwanini Mungu alianza kumpa adhabu nyoka ndipo akafuatia na Adam na Evah?

Halafu huo msemo wenu naona siku hizi umekuwa ndiyo defensive mechanism yenu kidogo tu utasikia mwanamke aliongea na shetani

Jibu ni rahisi sana mwanamke alijua anaongea na nyoka kwa sababu shetani hakuja kwa umbo lake bali alikuja kupitia nyoka sasa unadhani mwanamke alijua?
 
Correction: ADAM HAKUPEWA ADHABU (ILILAANIWA ARDHI BADALA YAKE)
NYOKA NA MWANAMKE NDO WALIPEWA ADHABU
NYOKA KUKUDANGANYA SIO SABABU NA WEWE USIWE CHANZO CHA MAASI MAANA UNGEWEZA KUKATAA.....HUJIULIZI WHY HUYO NYOKA HAKUMFUATA ADAM NA WAKATI ADAM ALIKUWEPO KITAMBO HAPO BUSTANINI.
 
Hapo umezungumzia swala lililo nje ya uwezo wa mtu kwa maana maumbile ni zaidi ya uwezo wa mtu lakini swala la kua na pesa hilo lipo ndani ya uwezo wa mtu either kuamua kuzitafuta au kutozitafuta hivyo swala la shepu?matiti mazuri lipo nje ya uwezo wa mtu...

Mke halali ndo anaetakiwa kuhudumiwa sio hawala,mpenzi au girlfriend mtu aliewekwa ndani na mwanaume ndo anaestahili kuhudumiwa tofauti na hapo ni fadhila tu mtu anapewa ili aweze kua na mtu huyo ndo maana unaona mwanamke akiachwa kinachomuuma sana ni kuzikosa zile huduma alizokua akipewa sio mapenzi au nini ni huduma i.e. kulipiwa kodi, hela za shopping etc
Oohh kwahiyo unamaanisha hata anayetakiwa kuheshimiwa na kufanyiwa kazi za ndani ni mume na siyo mpenzi si ndiyo? Sasa mbona wanaume wengi mnataka mfanyiwe hayo kwenye uchumba?

Tena hayo ndiyo mnayatumia kama vigezo vya kupima kama hao wanawake wanafaa kuolewa au la na kama hawana hivyo vigezo hamuwaoi! Sasa kwanini msiwaoe tu ili wakawaheshimu na wakawafanyie kazi za ndani mkiwa huko huko kwenye ndoa?
 
Hayo yote wanafanya kwa sababu wanajua siku hizi wanaume hawana mapenzi ya kweli maana hata wanaume wenyewe hamjui mnataka nini

Yaani mwanaume anaweza kuwa na mwanamke mzuri na anajitahidi kumfanyia kila kitu ila anaenda kuchepuka na mwanamke mbaya asiye na msaada wowote kwake sasa nashangaa mnavyowalumu wanawake kwa mambo ambayo hata ninyi mnayafanya
Ndo usiwachukulie serious....Ukimnunulia gari...kuna mtu anamsugu Kucha na chupi atamvua.
Utamnunulia peruvian hair ya millioni kuna msela anamnunulia mafuta ya buku 5 na atamvua chupi.
Hawajui Nini wanataka Maishani. Anaweza kutoka anaenda kununua viatu akarudi kanunua bangili (tena Mbayaaaaaa[emoji3] [emoji3] [emoji3] )
 
Kwahiyo Adam alipoambiwa atakula kwa jasho lake siyo adhabu hiyo? Ingekuwa hivyo leo hii wanaume msingekuwa mnalalamika kuwa maisha ni magumu na baadhi ya wanaume wasingekuwa wanakubali kuwa mashoga na kuolewa na wanaume wenzao ili wapate mteremko wa maisha

Halafu unaposema Evah alikuwa na uwezo wa kukataa unamaanisha Adam ndiyo hakuwa na uwezo wa kukataa? Mbona naye alikula lile tunda? Yaani wanaume wa kibongo kwa kulazimisha wanawake ndiyo waonekana wabaya kwenye kila kitu hamjambo chanzo cha maovu yote hapa duniani ni shetani Evah hakujichumia tu lile tunda na hakulazimishwa kula kama ambavyo Adam pia hakulazimishwa kula na ndiyo maana wote walipewa adhabu kuanzia nyoka hadi kina Adam na Evah kwa sababu walikuwa na uwezo wa kukataa kushawishiwa

Back
Top Bottom