Yeah naona anataka tubadili mada tuanze kubishana kuhusu Mungu na hata huyo Kiranga naye hana lolote ukitaka kujua wewe siku moja soma hoja zake uzielewe halafu umbane na maswali azielezee zile hoja zake kiundani uone kama atakujibu
Zurri ndiyo huwa anampatia kumuuliza maswali kiundani hadi anakimbia yaani huwaga anaandika hoja zake kwa kukariri na maswali yake kila siku ni yale yale hata watu wampe majibu gani kwa kifupi naweza kusema kuwa hakielewi anachokiandika anakariri halafu anakuja kudanganya watu humu na wanaamini wewe jaribu kufuatilia hoja zake uone