Mwanamke haulizwi kama yupo single wewe fanya hivi

Mwanamke haulizwi kama yupo single wewe fanya hivi

Guys,

Acha kumuliza Manzi kama yupo Single.

Wewe mtoe out, mnunulie chakula, mfanye afurahi, mpe pesa, Then mwachie aamue kama yupo single au la.
Mwisho wa siku anakutangaza unakibamia Hawa wanawake hawa balaa kabisa.

Ila nini kikubwa kumwaga tu
 
Mwanamke akisema, "Nina Stress," mwambie tu, "Pole, kila kitu kitakua sawa."

Lakini kama una PESA, unaweza kuuliza, "Shida nini dear?"
 
Mwanamke akisema, "Nina Stress," mwambie tu, "Pole, kila kitu kitakua sawa."

Lakini kama una PESA, unaweza kuuliza, "Shida nini dear?"
Kaka hili swali hutakiwi kuliogopa kuuliza, hata kama huna hela.
Akisema ana Stress, kabla ya kumuuliza za nini, lazima uanze kutamguliza maneno ya kumuacha ana hang ndio uuliza stress za nini
 
Hizi theory zitatuua an. Me nina mbinu zangu binafsi za kujua hilo
 
Back
Top Bottom