Mwisho wa siku anakutangaza unakibamia Hawa wanawake hawa balaa kabisa.Guys,
Acha kumuliza Manzi kama yupo Single.
Wewe mtoe out, mnunulie chakula, mfanye afurahi, mpe pesa, Then mwachie aamue kama yupo single au la.
✍
Kaka hili swali hutakiwi kuliogopa kuuliza, hata kama huna hela.Mwanamke akisema, "Nina Stress," mwambie tu, "Pole, kila kitu kitakua sawa."
Lakini kama una PESA, unaweza kuuliza, "Shida nini dear?"