Mwanamke hawezi kukuheshimu kama hakuogopi

Mwanamke kama anakupenda atakutii na sio kukuogopa...
Wanawake Huwa haweleweki Ivo ili Wanaume na sisi tu take Lead hatupaswi Kueleweka kabisa for that reason Kuna namna jamaa ameongea fact sana apo Juu, Toughness yetu itakufanya ujifeel you are a lady na hapo ndio Heshima hutamalaki
 
Bwana mdogo naona hatuelewani , unajua maana ya heshima?
Nishakwambia tafuta hoja hata kwa jirani,, Kuita watu wazima bwana mdogo hakutufanyi tuamini pumba unazoandika hapa.. Heshima inajulikana sana
Usiulize kama tunajua heshima ni nini..

Jenga hoja kuwa heshima unaipataje??
Au unadhani heshima unapewa tu from nowhere? Growup nigga..
Kama kitu hukijui bakia kimya kuliko kuja hadharani na kuthibitisha kabisa kuwa umekua mwili halafu akili ikadumaa.. sorry for any offense..
 
wewe bwana mdogo huenda hujui maana ya heshima. Heshima hutokana na kitenzi heshimu yenye maana ya thamini,, hivyo kuheshimu nikukipa kitu thamani yake hata watoto wanaheshimu,, kutomtukana mtoto au kuvua nguo mbele yake nikumeshimu . Japo hawezi kukufanya chochote kama hutofanya hivyo. Hivyo heshima na woga ni vitu viwili tofauti sasa utakuta bwana mdogo kama wewe umeshiba makande ya shemeji na dada yako unakuja kubishana mambo usiyo yaelewa
 
Mkuu umepuyanga sana nikwambie tu hivyo!! Thamani ni thamani na heshima ni heshima vinaweza kuingiliana katika muktadha fulani lakini haifanyi viwe kitu kimoja..
Heshima ndani ya familia haiwezi kuletwa kwa kukaa tu labda uniambie ni nini kinafanyika mpaka mwanamke anamheshimu mume wake?
 
Nipo nasoma comments tu
 
Uyo jamaa anaongea sana nadharia wakati tunaongea uhalisia. Katika nadharia watu wanataka kujifanya wastaarabu au wana demokrasia ndizo izo blah blah anazoziongea jamaa, lakini katika uhalisia bila kuweka rules and standards na ku-enforce zifuatwe kila mtu atakuchukulia poa. Nice men get used, ruthless men get respected.
 
Kwa namna zote mbili kuweka sheria ni mbinu bora zaidi kuleta utii kuliko kuacha kila mtu afanye vile anavyotaka
Uko sahihi kabisa. Mjadala huu unatoa angalizo kwamba pale ikitokea kwa bahati nzuri ukaona mazingira yako hayakulazimshi sana kuweka sheria, ni bora ukaacha.

Zipo sheria za ujumla za mienendo ya kawaida ya wanadmau ambazo zinajulikana kuwa huwa zinatumika kwa kil binadamu; acha zitumike hizo; usiweke za kwako specific

Kwa mfano, mwenye nyumba aliyekuwa amepanda maua mazuri kando kando ya nyumba yake, hakuwa analazimika kuweka sheria ya kuwazuia watoto wasichezee maua kwa sababu walikuwa hawajawahi kuyachezea
 
Mwanamke anamuheshimu yule anayeweza kumfanya awe tegemezi huku akimpatia mahitaji yake kwa fomula isiyoeleweka .

Mwanamke akiweza kujitegemea hawezi kukuheshimu kamwe maana hana anachotaka kwako na kama ni dyudyu atapata kwa vibenten..

Unataka mwanamke akuheshimu mjengee awe tegemezi sana hata akiingia mwezini achanganyikiwe anaombaje hela ya ped . Hapo mtaendana
 
Kuweka taratibu na miongozo sio lazima mpaka hatari itokee. Katika huo mfano wako hakuna guarantee kwamba uyo jamaa asingeweka latazo kwenye bustani yake basi watoto wasingealibu maua milele.

Mfano cheating, mimi nishamwambia wife ikitokea nimegundua kanicheat tunaachana hapo hapo sitajali chochote sitasikiliza ushauri wa yoyote. Kwaiyo akiamua kukitombesha sawa ni mwili wake ana uhuru wa kuhutumia atakavyo lakini consequences anazijua. Siwezi kukusubiri mpaka anicheat ndio nimpe onyo
 
Ninaunga mkono hoja mia kwa mia. Hayo aliyoyasema mjumbe yatawezekana na utimamu wa mwili wa mwanaume, mwanaume haufanyi mazoezi hauna masculinity, kitandani unapiga kagoli kamoja dakika sifuri. Huwezi kupata hiyo Heshima.
Mwanaume imara fanya mazoezi uwe imara kimwili na kiafya, mwanoume wekeza kwenye personal development soma vitabu vya maarifa uongeze maarifa. Angalia taarifa za habari Al Jazeera, SABC and the like, sawa weka muda wa kuangalia mipira na muziki.
 
Vijana wanapoteza muda kwenye mambo yasiyokua na maana. Mtu anatumia masaa mawili kuangalia movie netflix lakini ikimwambia atenge nusu saa tu kuangalia video ya kujifunza ujuzi mpya youtube mfano kutengeneza viatu atakwambia hana muda
 
Mi nadhani hawa watu wanataka kugain milleage ambayo hawana hapa jamvini wakidhani kupitia blah blah zao watatrape pisi za humu ziende PM.

Hata wanawake wenyewe wanarequire men of high standards na sio low value men..
Sasa hapa kwenye value masimp yanadhani ni kutupa pesa na kutoweka limitations kwa wenzi wao maishani..
Matokeo yake mwanamke anakuona kweli una pesa but anawishi fulani kwenye list ya maex zake ndie angepata hizo pesa na sio wewe!! Matokeo yake
Mwanamke anakuwa na wewe for grants tu na sio kwamba anafeel kuwa full controlled na mwanaume..
Siku akiona upande wake wa uchumi ni kama unaridhisha anamuacha simp na kumtafuta mkulungwa huko aliko anaishi na kuzaa nae..

Wewe utashangaa mwanamke anajifanya anaujua sana uzazi wa mpango as if anayaonea huruma malengo yako which is not true..

Anaavoid kuzaa na mtu ambae anajua matokeo yake ni watoto kukosa baba imara mwenye misingi na misimamo thabiti..

Kwanza ukiwa na command mwanamke hujiona kwamba yuko safe sana kiasi anadhani hata akitokea simba hakuna kitu atafanya maana kuna mwamba..

Sasa vijana wanaendekeza mapenzi na maisha ya sinema ambayo yameandaliwa kimkakati na wao wanaingia box tu kichwa kichwa..

<<<Shauri zao.. Sisi hatutaishi milele kuwaeleza haya siku zote.>>>

Ni muda wao wasome maandiko yetu na kujitafakari waweze kukaa kitaalamu il wasijekusema tuliwanyima maarifa..

Ajabu watu wanaponda maarifa wanashadadia porojo za vijiweni na semina zilizoandaliwa kufelisha wanaume..

These Niggas are the one who give money to women to go to the market instead of them comming home with packages to impress and restore manhood in their families..
Matokeo yake watoto wanakua wakidhani mom ndie bread winner..
 
KATIKA HALI YA KAWAIDA, heshima NDIYO inayotakiwa izae AU isizae uoga na si uoga kuzaa heshima

NI katika HALI isiyo ya KAWAIDA TU NDIYO PALE uoga HUWA unalazimika kuzaa heshima na HII HUWA inachangiwa KWA KIASI kikubwa sana na MHESHIMIWA mwenyewe

Heshima YA uoga NI unafiki MMOJA mbaya sana KATIKA MAISHA ya mwanadamu.

Kwa mfano, ikitokea mimi nikagundua kuwa mtu ana heshima YA woga kwangu, nitamrekebisha na asiporekebishika, hatuwezi kuelewana tena
 
Diplos at your best,,
Thinking that you can rectify a grown lady who attends saloons full of b*tches and feminists,, congrats.. keep fooling yourself and some there.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…