Mwanamke humpenda mwanaume mwenye pesa ili maisha yake yaende, wengi hawana hisia za kimapenzi na wanaume hao

Haya ni matokeo asilia ya wanadamu kumweka Mola kando na kuamua kutembea kwenda zao wakijiendea pekupeku peke yao.
 
Pesa, good sex, most caring, handsome, smart, ako na gari.....vitu ambavyo at the end havipatikani kwa mtu mmoja. Maana yake inatakiwa......au nasema uongo ndugu zangu.
 
Wanawake hua hawatupendi sisi wanaume,Ila sisi ndiyo tuñajipendekeza,wao wako kimaslahi Sana.

Mfano,unadhani wanawake wote waliozaa na mondi wanampenda? Hakuna Ila wameona pale pamenona,hata wewe ukiwa na mkwanja watajaa kibao ukitaka.

La msingi,ukiwapata watumie na mtumiane,Kila mtu ajipende mwenyewe,usiwekeze akili huko hata Kama ni mkeo.
 
uUe uteute wa K ya mwanamke ni kwasababu pesa iko around, kata bomba la pesa, utasikia 'tusisex sana bana inabidi 'unenepe' ,
 
ule uteute wa K ya mwanamke ni kwasababu pesa iko around, kata bomba la pesa, utasikia 'tusisex sana bana inabidi 'unenepe' ,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umetishaaaaah lol
 
Ndo wanaoongoza kulia katika vifua vya michepuko yao wakilalamika wasivyokuwa na mapenzi na waume zao
 
Mimi ninavyo vyote hivi... [emoji41]
Pesa, good sex, most caring, handsome, smart, ako na gari.....vitu ambavyo at the end havipatikani kwa mtu mmoja.
Maana yake inatakiwa......au nasema uongo ndugu zangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…