Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uko wrong tena saana wewe kwa uelewa wako swali unavyona limeulizwa kiswahili,kiingereza am liko katka biology term acha kujifanya mjuaji kama hujui ni hujui tuu en nahisi hizi ni tabia za kike na lazima utakuwa mtt wa kike:nono:TIQO hapa nilitaka kujua uwezo wake wa kuelewa ili nijue naweza kuanza kumfundisha toka wapi.
unless kama hujaona mantiki ya swali langu but kumuliza level ya shule nilitaka jua nikitumia biological terms atanielewa vizuri na hasa nikichanganya na kiingereza??
kumuuliza kama alisoma ordinary school ama technical school ni wazi kwamba sote tuajua kama alisoma shule ya kawaida angekuwa na basic biology knowledge so pakuanzia kumfundisha, pasingekuwa pagumu sana, ila kama amesoma techncal school najua hajui biology kabisaaaaa so huyu nitaanza kumfunza kama form one kid.
kumbuka am a teacher na siku ya kwanza kukutana na mwanafunzi mgeni jambo la kwanza ni kumpa maswali aseme back ground yake ndipo utajua misingi wakena kinachofuata hapa zaid ni kumpa maswali kutokana na basic background yake ndipo ujue anaweakness gani ili scheme yake uweze kuipanga.
kama kwa misingi hii niko wrong am so sorry
umeona eeh ts none sense kabisaDuh we ndo buree kabisa bora hata alieuliza swali
Sasa akiambiwa kuwa muuliza swali ana PhD sijui atasema nn hapo kuhusu huo upeo anaoutafutauko wrong tena saana wewe kwa uelewa wako swali unavyona limeulizwa kiswahili,kiingereza am liko katka biology term acha kujifanya mjuaji kama hujui ni hujui tuu en nahisi hizi ni tabia za kike na lazima utakuwa mtt wa kike:nono:
umeona eehh...Sasa akiambiwa kuwa muuliza swali ana PhD sijui atasema nn hapo kuhusu huo upeo anaoutafuta
ofkoz we nid gud pipo laiki yuu:yo:I will shoot straight.
Ndio, wanawake wanakojoa wanapofika kileleni katika tendo la ndoa. Hii inaitwa female ejaculation au squirting. Wakati male ejaculation inaweza kuwa na ujazo wa kijiko 1 au 2, ya wakina mama inaweza kufikia ujazo wa kikombe na zaidi.
Wetness kwenye uke ni muhimu ili tendo la ndoa lisimuumize. Lakini mwanamke anapofika kileleni anatoa haya maji zaidi ili sperms zipate medium ya kuogelea zinapotafuta yai.
Wakina mama wanatofautiana na kiasi gani cha haya maji wanayatoa. Kuna light squirters na wale super (niagara) squirters. Ukikutana na super-squirter utajua tu kwa sababu itabidi muweke mataulo ili muweze kulala. Wanawake pia wana uwezo wa kuwa na multiple-ejaculations kama umemuandaa vizuri.
Somo:
Ili mpenzi wako (mke) aweze ku-squirt, ni lazima umuandae vizuri. Haya mambo ya "slam-bam thankyou-maam" uta-climax wewe lakini sio yeye. Ukiweza kumfanya mpenzi wako a-squirt ni dalili kuwa umemridhisha vya kutosha.
Wakina mama msione aibu kama utalowesha shuka kwa gharika utakalolishusha kwani hii inamuashiria mwenzio kuwa kibarua ulichompa amekitimiza.
Wakina baba kila siku lengo lako katika tendo la ndoa ni kumfanya mwenzio a-squirt. Ukiweza kufanya hivi kila mara huyo mama atakufunga kamba kwenye tendegu usitoke.
Yani wewe ndio bure kbs heri alieuliza swali, wewe ni useless! Uliona wapi shahawa za ke zinasababisha mimba??
Duh we ndo buree kabisa bora hata alieuliza swali
kwa kweli dada mimi nimemaliza form 2 tena sio town ni shamba na hata kama tulisomeshwa hivyo vitu siwezi kukumbuka naomba unieleze vizuri
uko wrong tena saana wewe
kwa uelewa wako swali unavyona limeulizwa kiswahili,kiingereza am liko
katka biology term acha kujifanya mjuaji kama hujui ni hujui tuu en
nahisi hizi ni tabia za kike na lazima utakuwa mtt wa kike:nono:
hivi umesoma mpaka darasa la ngapi??
je ulisoma ordinary schools ama technical school??
nijibu hya nikupe majibu
Sina sababu ya kumuuliza mtu yeyote yule ukweli unajulikana wewe umetoa hoja i-backup na ushahidi usikimbilie mteremko, hapa ni hoja kwa hoja mr/mrs Mbuzi. Kama huwezi kubackup utumbo wako futa kauli. Jibu maswali na acha kuruka ruka kama kunguru.
Duuuuuh!! utoto kazi kweli kweli, bora niliipita stage hiyo vizuri na sikuwa na maswali ya aina hii. Kuwa kwanza kaka kisha utayajua hayo yote.