Mwanamke huyu ana dhamira gani?

Mwanamke huyu ana dhamira gani?

Status
Not open for further replies.
Mkuu nili sacrifice pesa nikiwa najuwa napata njia ya kusolve tatizo langu maana nimepoteza gari langu kwa ajiri ya X na X ni rafiki yake na huyu demu. Mbaya zaidi nikiwa mtungi sinaga hamu na wanawake
Aaaagh! Endelea na msimamo wako bhana! Kuna wanawake wengine vimeo sana,wapo kwa ajili ya kuharibu maisha ya wanaume.huo mnyororo wa × na marafiki wa × ukate fasta.
 
Ahsante mkuu wangu. Kuna watu wananiona Mimi zoba lakini hajawakuta, nimezaliwa miaka ya 1980 nimepitia mengi wakiwemo hawa wanawake!
 
Umeongea vizuri sana Pendo kwa kweli asubuhi yake nilijipongeza kwa kujipiga kifua. Hali sio poa.
Waepuke woote ambao wanahusika na ex wako. Nilipitia changamoto kama yako. Nilikua daily najiassociate na family ya ex na huku nataka kumove on. Ilikua ngumu sana. Siku nimekata mawasiliano tu maisha yakawa mazuri sana. Nilijipongeza kwa kitimoto safi na fresh juice tamuu[emoji28][emoji28] mbaya sana kuassociate nao hao watu
 
Kweli kabisa momy! Sema nahitaji kujuwa mbona baadhi yenu huwa hamuishi visasi ?
 
Ahsante mkuu wangu. Kuna watu wananiona Mimi zoba lakini hajawakuta, nimezaliwa miaka ya 1980 nimepitia mengi wakiwemo hawa wanawake!
Ngono ni gharama Sana
Malipo yake ni majutooo
 
gari imepoteaje mkuu wakati documents ni zako na funguo unazo wewe?
Mkuu nili sacrifice pesa nikiwa najuwa napata njia ya kusolve tatizo langu maana nimepoteza gari langu kwa ajiri ya X na X ni rafiki yake na huyu demu. Mbaya zaidi nikiwa mtungi sinaga hamu na wanawake
 
sasa mpaka lodge mkuu au ulijua anataka maombi😁😁😁😁
anyway wee endelea na masanga
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom