Mwanamke huyu anadaiwa kuwa nyuma ya mafanikio ya Dokta Cheni

Hamna bwana, jamaa ana mishe zake tu.
 

Daaahhh hii issue nakumbuka ilikuwa 2018 au 2019 niliisikia maana kuna jamaa yangu mmoja alikuwa ana urafiki na yule ex wake aliyekuwa miss singida.
Inasemekana alizifuma text na ndio chanzo cha mahusiano yao kufa.

Sikuwahi kuongelea popote maana sikuwahi kuamini lakini pia huwa naogopa sana kutoa aibu za watu nje
 
We lima tyuuh ufuta, wenzio wanatumia fursa walichopewa buree na wazazi wao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii ilikua 2020,
Tuwasitirii tyuuh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…