Mwanamke huyu anadaiwa kuwa nyuma ya mafanikio ya Dokta Cheni

Mwanamke huyu anadaiwa kuwa nyuma ya mafanikio ya Dokta Cheni

Eeeeeh bwana eeeh!
Hapo kwa mtoto wa Kigogo code imenishinda kabisa, sijui sababu kichwa changu hakiko sawa?
Legeza basi kidogo na wewe...

Halafu huyo boss aliyegombana na Majani ni yule aliyetangulia? Hivi ujue huwa siamini kama nae alikuwa anafanya mishe za poda? Alikuwa smart sana kufanya hayo!
Majani alimaindi sana,,,,,,,BOSI KUBWA ALIMPOTEZA PIA MWANA CHEMBA KUA TEJA.. !!!!
Hivi isssue ya bashite kuvamia kule ulidhani alikua anatania????
Anajua alichokua anakifanya...
NB: kigogo""P"" siwezi kufungua code zaidi,,,,,itifaki inazingatiwa madam 🤣🤣🤣
 
Mi hawa mashangazi sijui kama nitawaweza yaani mi bila kuwa na hisia na mwanamke siwezi kufanya nae chochote na nikijilazimisha basi baada ya hapo ntaenda kuoga maji lita 300 au kama ni mashuka ya ghetto nitaamka niyafue hata kama ni usiku wa manane
Wewe huna shida ya hela! Waliojipindia wako tayari hata kugongwa, sembuse kugonga lishangazi, hiyo si kama kunywa maji.
 
Kwa sababu mnaumiza watu kwa kuwazushia ushoga. Hili linaumiza sana. Hii bullying yenu sio jzuri. Ningekuwa mmojawapo ninayezushiwa hakika ningeipeleka JF mahakamani kwa kesi ya "defamation" na ningehitaji billions of money pia wanisafishe. Acheni huu upuuzi wa kuzushia watu.

Imekuuma ya Warumi, sasa kafaidika nini na kuumiza na kuzushia watu. Muda alioutumia kuzushia na kuumiza wengine si bora angeutumia kutengeneza na Mungu wake? Sasa anakula Mbaranga na makwenzi toka kwa mapepo huku alipo. Anavuna alichopanda. Bado nawe siku yako yaja usipobadilika na kutengeneza na Mungu wako. We kila mtu ni shoga huko Daslama. Yaani kuvulowa uanaume kwako no kotu kidogo tu haya Simi inamvua mtu uanaume huko Daslama.

Badilikeni hii haisaidii zaidi ya kuumiza. Katika jamii zetu za kiafrika ni bora umzushie mtu mwizi, mvuta bangi au anauza madawa ya kulevya ila sio ushoga. Ni fedheha kubwa katika jamii.
Kaka kule dar asilimia 45 % ya wanaume kule dar wanatia wasiwasi
 
Majani alimaindi sana,,,,,,,BOSI KUBWA ALIMPOTEZA PIA MWANA CHEMBA KUA TEJA.. !!!!
Hivi isssue ya bashite kuvamia kule ulidhani alikua anatania????
Anajua alichokua anakifanya...
NB: kigogo""P"" siwezi kufungua code zaidi,,,,,itifaki inazingatiwa madam 🤣🤣🤣
Mbona Mange anadai Mwana chemba alipotezwa na yule kitukuu wa kiongozi wa maji2 ya Songea? 😆😆

Huyo Kigogo ngoja kubwa langu la maadui lije, code itavunjwa hiyo.
 
Kwa sababu mnaumiza watu kwa kuwazushia ushoga. Hili linaumiza sana. Hii bullying yenu sio jzuri. Ningekuwa mmojawapo ninayezushiwa hakika ningeipeleka JF mahakamani kwa kesi ya "defamation" na ningehitaji billions of money pia wanisafishe. Acheni huu upuuzi wa kuzushia watu.

Imekuuma ya Warumi, sasa kafaidika nini na kuumiza na kuzushia watu. Muda alioutumia kuzushia na kuumiza wengine si bora angeutumia kutengeneza na Mungu wake? Sasa anakula Mbaranga na makwenzi toka kwa mapepo huku alipo. Anavuna alichopanda. Bado nawe siku yako yaja usipobadilika na kutengeneza na Mungu wako. We kila mtu ni shoga huko Daslama. Yaani kuvulowa uanaume kwako no kotu kidogo tu haya Simi inamvua mtu uanaume huko Daslama.

Badilikeni hii haisaidii zaidi ya kuumiza. Katika jamii zetu za kiafrika ni bora umzushie mtu mwizi, mvuta bangi au anauza madawa ya kulevya ila sio ushoga. Ni fedheha kubwa katika jamii.
🤣🤣🤣😂😂
 
Bosi kubwa alimfanya cow bo.....!!!
Kua teja!!!
Lakini issue ya kifo sijui bro alikua amebeba mzigo wa nani.....
Hilo swali tumuulize M to the P!!!
Kwamba ndio vile alikuwa anawapoteza kwenye game ndio stress akatumia madawa au alimfanya punda?

Mange anadai mzigo wa mwisho uliomuua ulikuwa wa kitukuu.
 
Kama sio mods kutupoozesha kutwa nzima ya leo tungekuwa mbali sana, na ningeshawaletea ubuyu mwingine wa Mange na Kinje walivyochambana usiku wa kuamkia leo.
Yani wamechambanaaaa 🙌🏾🙌🏾

Huyo mlamba midomo yeye huwa anawala wenzie na rafiki yake yule jamaa kutokea Singida.
Ndio story yao kubwa inayofahamika.
Mkuu "Sio Real"
 
Back
Top Bottom