Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Si huko juu nimeona dada anatuma sms na jamaa hajibu, si bora umblock mtu tu?Duh...!. Vipi tena?!.
P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si huko juu nimeona dada anatuma sms na jamaa hajibu, si bora umblock mtu tu?Duh...!. Vipi tena?!.
P
Itakuwa bwanaako katakwa..!!Tafadhali naomba ushauri kwa jirani yangu huyu.
Kuna mwanamke anamtaka kimapenzi lakini yeye hana interest naye kabisa. Lakini mwanamke huyu anamsumbua sana mpaka imekuwa kero. Mchana na usiku ni message tu za kumpenda na kumwomba waoane. Huyu mwanamke wala hajali kama yule jamaa ana mke au la. Saa kumi alfajiri anapiga simu. Ameshachoka kumwonya lakini ni kama akili zimefyatuka, hajali.
Mimi nimeshauri asijibu hizo message yeye huwa hajibu lakini bado ndio kwanza kama amewashiwa moto.
Jee munashauri afanye nini ili kuepukana na balaa hili? Maana amechoka kabisa. Anamfuata ofisini ikabidi aweke tahadhari kwa walinzi wakimwona wasimruhusu kabisa.
Ingekuwa wa kwangu kwani shida iko wapi? Ningeandika tuItakuwa bwanaako katakwa..!!
Anyway, jamaa kaoa? jamaa ana mchumba?
AmtukaneTafadhali naomba ushauri kwa jirani yangu huyu.
Kuna mwanamke anamtaka kimapenzi lakini yeye hana interest naye kabisa. Lakini mwanamke huyu anamsumbua sana mpaka imekuwa kero. Mchana na usiku ni message tu za kumpenda na kumwomba waoane. Huyu mwanamke wala hajali kama yule jamaa ana mke au la. Saa kumi alfajiri anapiga simu. Ameshachoka kumwonya lakini ni kama akili zimefyatuka, hajali.
Mimi nimeshauri asijibu hizo message yeye huwa hajibu lakini bado ndio kwanza kama amewashiwa moto.
Jee munashauri afanye nini ili kuepukana na balaa hili? Maana amechoka kabisa. Anamfuata ofisini ikabidi aweke tahadhari kwa walinzi wakimwona wasimruhusu kabisa.
PuchuuAsanteni kwa ushauri, lakini kwa mara ya kwanza huyu mama alikutana na huyu jirani yangu ofisini kwa shughuli ya kazi, yaani ni kama vile unakwenda ofisini una shida halafu unaambiwa kamwone fulani. Katika kufuatilia baadhi ya wakati unampa mtu namba yako ya simu, na sio kwa lengo lo lote la ziada. Ndio yaliyomfika huyu jamaa.
Kwa kweli hata kama anao mabibi wengine (hilo siwezi kujua) lakini at least kwa hapo nyumbani kwake anaonekana ni mtu mwenye heshima kwa familia yake. Sasa hiyo ndiyo inayomsumbua.
Fidel80, kujidawasco ndio nini?
Mkuu bitimkongwe , hii story iliishaje?.
P
Form 1P ilikua tarehe 22/5/2010
Ahahaha, Kama mtoto kazaliwa na sasa yupo shule ya msingi
VizuriHe hii stori ni ya zamani sana, yule jirani yangu alikomaa na mwisho wanamke alikata tamaa.
Hiyo saa 10 alfajiri unakuwa wapi hadi kuyqjua hayoTafadhali naomba ushauri kwa jirani yangu huyu.