Mwanamke huyu ni "Stalker"

Mwanamke huyu ni "Stalker"

Tafadhali naomba ushauri kwa jirani yangu huyu.

Kuna mwanamke anamtaka kimapenzi lakini yeye hana interest naye kabisa. Lakini mwanamke huyu anamsumbua sana mpaka imekuwa kero. Mchana na usiku ni message tu za kumpenda na kumwomba waoane. Huyu mwanamke wala hajali kama yule jamaa ana mke au la. Saa kumi alfajiri anapiga simu. Ameshachoka kumwonya lakini ni kama akili zimefyatuka, hajali.

Mimi nimeshauri asijibu hizo message yeye huwa hajibu lakini bado ndio kwanza kama amewashiwa moto.

Jee munashauri afanye nini ili kuepukana na balaa hili? Maana amechoka kabisa. Anamfuata ofisini ikabidi aweke tahadhari kwa walinzi wakimwona wasimruhusu kabisa.
Itakuwa bwanaako katakwa..!!
Anyway, jamaa kaoa? jamaa ana mchumba?
 
Tafadhali naomba ushauri kwa jirani yangu huyu.

Kuna mwanamke anamtaka kimapenzi lakini yeye hana interest naye kabisa. Lakini mwanamke huyu anamsumbua sana mpaka imekuwa kero. Mchana na usiku ni message tu za kumpenda na kumwomba waoane. Huyu mwanamke wala hajali kama yule jamaa ana mke au la. Saa kumi alfajiri anapiga simu. Ameshachoka kumwonya lakini ni kama akili zimefyatuka, hajali.

Mimi nimeshauri asijibu hizo message yeye huwa hajibu lakini bado ndio kwanza kama amewashiwa moto.

Jee munashauri afanye nini ili kuepukana na balaa hili? Maana amechoka kabisa. Anamfuata ofisini ikabidi aweke tahadhari kwa walinzi wakimwona wasimruhusu kabisa.
Amtukane
 
Ingekuwa wa kwangu kwani shida iko wapi? Ningeandika tu
Tukio lenyewe lilitokea miaka mingi nyuma hata hiyo mitandao ilikuwa ni shida.

Depal unadhani mwaka 2010 kulikuwa na hayo ya kublock? mImi sikumbuki kwa kweli
Mmh
 
Asanteni kwa ushauri, lakini kwa mara ya kwanza huyu mama alikutana na huyu jirani yangu ofisini kwa shughuli ya kazi, yaani ni kama vile unakwenda ofisini una shida halafu unaambiwa kamwone fulani. Katika kufuatilia baadhi ya wakati unampa mtu namba yako ya simu, na sio kwa lengo lo lote la ziada. Ndio yaliyomfika huyu jamaa.

Kwa kweli hata kama anao mabibi wengine (hilo siwezi kujua) lakini at least kwa hapo nyumbani kwake anaonekana ni mtu mwenye heshima kwa familia yake. Sasa hiyo ndiyo inayomsumbua.

Fidel80, kujidawasco ndio nini?
Puchuu
 
Tafadhali naomba ushauri kwa jirani yangu huyu.

Kuna mwanamke anamtaka kimapenzi lakini yeye hana interest naye kabisa. Lakini mwanamke huyu anamsumbua sana mpaka imekuwa kero. Mchana na usiku ni message tu za kumpenda na kumwomba waoane. Huyu mwanamke wala hajali kama yule jamaa ana mke au la. Saa kumi alfajiri anapiga simu. Ameshachoka kumwonya lakini ni kama akili zimefyatuka, hajali.

Mimi nimeshauri asijibu hizo message yeye huwa hajibu lakini bado ndio kwanza kama amewashiwa moto.

Jee munashauri afanye nini ili kuepukana na balaa hili? Maana amechoka kabisa. Anamfuata ofisini ikabidi aweke tahadhari kwa walinzi wakimwona wasimruhusu kabisa.
Hiyo saa 10 alfajiri unakuwa wapi hadi kuyqjua hayo
 
Back
Top Bottom