Financial Freedom
JF-Expert Member
- Nov 14, 2016
- 1,246
- 2,299
Habari za muda huu Wakuu wa MMU, naandika kwa huzuni uzi huu kisa ni hiki.
Kaka wa rafiki yangu ni mwanajeshi kituo cha kazi ni Tabora, hana maelewano na ndugu zake yaani rafiki yangu pia na wazazi wake kisa ni mke wake waliyezaa nae watoto wawili.
Tangu ahamishiwe kituo cha kazi Tabora kutoka Mwanza na kumpata huyo mwanamke mambo yote ndo yakaanzia hapo mpaka kufikia hatua ya kumwekea bastola mdogo wake kichwani alipomsema vibaya huyo mkewe😁.
Mwanamke huyu wa Tabora ana nini? Mnatenganisha mtu,familia na wazazi wake