Mwanamke huyu wa Tabora ana nini?

Mwanamke huyu wa Tabora ana nini?

Kuuliza sio ujinga Boss
Bro wangu hanihusu wala siafatilii mali zake ila nashangaa tu anashindwa hata kupokea wala kuwapigia simu za wazazi waliomsomesha .Akija home anawapa elfu kumi tu eti..

Ukianza maisha, ukioa, utaelewa mziki ulivyo. Uwe na ndugu tegemezi wanaoamini wewe unazo tu pesa na ni kwa ajili yao, kila wakipiga simu ni kuomba hela.

Hapo hawajui kama hata kodi au hata umeme tu unakusumbua, na una familia yako kipaumbele cha kwanza.

Kuna kero hadi unaona bora usipige simu nyingi, na ukute sio kweli kuwa amanyoosha mambo yake.

Ile unafuu tu tofauti na nduguze basi anakuwa kimbilio la kila mtu, kwa wazazi angalau wana nafasi ila wajue tu pengine kijana wao maisha yake ni taiti tu huko aliko!
 
Habari za muda huu Wakuu wa MMU, naandika kwa huzuni uzi huu kisa ni hiki.

Kaka wa rafiki yangu ni mwanajeshi kituo cha kazi ni Tabora, hana maelewano na ndugu zake yaani rafiki yangu pia na wazazi wake kisa ni mke wake waliyezaa nae watoto wawili.

Tangu ahamishiwe kituo cha kazi Tabora kutoka Mwanza na kumpata huyo mwanamke mambo yote ndo yakaanzia hapo mpaka kufikia hatua ya kumwekea bastola mdogo wake kichwani alipomsema vibaya huyo mkewe😁.

Mwanamke huyu wa Tabora ana nini? Mnatenganisha mtu,familia na wazazi wake
Daah,kanasa tayari huyo na hatoki bila nguvu ya ziada,mwanamke alichofanya ni kua kila jamaa akikutana nae kimwili anamfuta uume na kitambaa kisha anakifanyia mambo katika chungu,nina washkaji zangu 3,mmoja soldier alichukuliwa na ndugu zake baada ya kuweka kuweka bunduki chini na kazi aliacha..,huyu mwingine majuzi tuu ndo kapona nakutoka kwa mchepuko akarudi kwa mkewe(Huyu tiba ilipatikana Kigoma bila yeye kujua,mwanafamilia mmoja alijiongeza).
Wa 3. naomba nisiseme(inasikitisha sana).
NB:
Mambo ya Giza yapo,na wadada wa Tabora wanashika sana watumishi...,ukishindwa kabisa kuvumilia hakikisha haufutwi dushe na chochote(khanga,mtandio,taulo lake,kitambaa chake etc).
 
Familia inahisi hivyo maana kabadilika ghafla na huyo mwanamke wa Tabora

Kabla ya kwenda Tobara alikuwa yeye na korodani zake hivyo basi walipata huduma nyingi. Baada ya kwenda Tabora anaishi na mwanamke(mke) na watoto wawili hivyo basi kamamshahara kake kwa kiasi kikubwa kanahudumia familia yake(mke na watoto) hii imepelekea kupunguza huduma kwa wazazi na ndugu lakini chuki inahamishiwa kwa mke wake. Umasikini ni kama maana Fulani hivi,poleni wake zetu munatupiwa lawama sizizowahusu.

Kijana kama familia inakutegemea ukioa utakuja kuyakumbuka haya vinginevyo uwe uchumi imara sana ambao utakusadia kuhudumia ndugu zako na wazazi na huku ukihudumia mke na watoto wako.
 
Daah,kanasa tayari huyo na hatoki bila nguvu ya ziada,mwanamke alichofanya ni kua kila jamaa akikutana nae kimwili anamfuta uume na kitambaa kisha anakifanyia mambo katika chungu,nina washkaji zangu 3,mmoja soldier alichukuliwa na ndugu zake baada ya kuweka kuweka bunduki chini na kazi aliacha..,huyu mwingine majuzi tuu ndo kapona nakutoka kwa mchepuko akarudi kwa mkewe(Huyu tiba ilipatikana Kigoma bila yeye kujua,mwanafamilia mmoja alijiongeza).
Wa 3. naomba nisiseme(inasikitisha sana).
NB:
Mambo ya Giza yapo,na wadada wa Tabora wanashika sana watumishi...,ukishindwa kabisa kuvumilia hakikisha haufutwi dushe na chochote(khanga,mtandio,taulo lake,kitambaa chake etc).

Huyo private hana pesa ya kuhudumia familia yake(mke na watoto) wakati huo huo ndugu na wazazi wake wanamtegemea yeye. Huyo mwanamke wanamuonea tu,na kwa akili za kimasikini wanaona bora familia take ilale njaa lakini wahudumiwe wao ndugu. Na wazazi wanapenda kulalia upande wa ndugu tegemezi na kumkandamiza anayetegemewa.
 
Ashapigwa dawa inaitwa "lukomolo"kwa sisi wenyej wa mboka manyena...apo lazma mganga ahusike tena kumnasua kwenye uo mtego kama imani haiko stable
 
Iyo ndo tabora mkuu nduguyako kapigwa DAWA huku ni hatari sana aiseee ukimwacha mwanamke alale ndani anakupiga madawa
 
Habari za muda huu Wakuu wa MMU, naandika kwa huzuni uzi huu kisa ni hiki.

Kaka wa rafiki yangu ni mwanajeshi kituo cha kazi ni Tabora, hana maelewano na ndugu zake yaani rafiki yangu pia na wazazi wake kisa ni mke wake waliyezaa nae watoto wawili.

Tangu ahamishiwe kituo cha kazi Tabora kutoka Mwanza na kumpata huyo mwanamke mambo yote ndo yakaanzia hapo mpaka kufikia hatua ya kumwekea bastola mdogo wake kichwani alipomsema vibaya huyo mkewe😁.

Mwanamke huyu wa Tabora ana nini? Mnatenganisha mtu,familia na wazazi wake

MIMI SI SHANGAI, MY FIRST BORN LIWAHI KUSEMA MBELE YA BABA NA MAMA KWAMBA MIMI SINA NDUGU, NDUGU ZANGU NI WATOTO WANGU NA MKE WANGU NI HAZINA, AKAONDOKA. HAKUWAHI KUFIKA NYUMBANI MPAKA SIKU ALIPOAMBIWA BABA AMEKUFA MWAKA 2008. MIAKA MIWILI BAADAYE, 2010 WATOTO ZAKE WALIKUJA NYUMBANI KULETA TAARIFA LAKINI MLETA TAARIFA HUYU MTOTO MDOMO WAKE MZITO ANAKIGUGUMIZI. MAMA ALIPOMUONA AKANIITA COULIBALY KUNA TATIZO, KWA SABABU HAWA WATOTO HAWAJAWAHI HATA SIKU MOJA KUPANDA DALADALA KUJA HOME ZAIDI YA KULETWA. ........................

HII SIMULIZI INATIA HUZUNI SANA...BRO, ALIFIA HOSPITAL NA MWANAMKE HAJULIKANI ALIPO KWA ZAIDI YA WIKI 2. ALIKUJA SIKU YA MSIBA AKAFUKUZWA. TUKACHUKUA WATOTO NA KUWAHAMISHA SHULE KUJA KUISHI NAO, WALIKUWA WA3 WAKIUME........MUACHENI NA HUYO NAE ATAKUJA KUZIKWA NA JWTZ WAKATI MKEWE ANASUGULIWA NA MPINI KWENYE KITANDANI KINGINE.
 
Back
Top Bottom