Financial Freedom
JF-Expert Member
- Nov 14, 2016
- 1,246
- 2,299
Katosa wazazi MkuuAcheni mtu aish maisha yake na mkewe kufatiliana lazima mtapigwa shaba[emoji848]
😀😀mshauri azungumze na bwana Laizer amuulize amewezaje kuishi na wanawake wanne bila kushikiana mishale.Habari za muda huu Wakuu wa MMU, naandika kwa huzuni uzi huu kisa ni hiki.
Kaka wa rafiki yangu ni mwanajeshi kituo cha kazi ni Tabora, hana maelewano na ndugu zake yaani rafiki yangu pia na wazazi wake kisa ni mke wake waliyezaa nae watoto wawili.
Tangu ahamishiwe kituo cha kazi Tabora kutoka Mwanza na kumpata huyo mwanamke mambo yote ndo yakaanzia hapo mpaka kufikia hatua ya kumwekea bastola mdogo wake kichwani alipomsema vibaya huyo mkewe😁.
Mwanamke huyu wa Tabora ana nini? Mnatenganisha mtu,familia na wazazi wake
Askari uyo bastola aliitoa wapi?Habari za muda huu Wakuu wa MMU, naandika kwa huzuni uzi huu kisa ni hiki.
Kaka wa rafiki yangu ni mwanajeshi kituo cha kazi ni Tabora, hana maelewano na ndugu zake yaani rafiki yangu pia na wazazi wake kisa ni mke wake waliyezaa nae watoto wawili.
Tangu ahamishiwe kituo cha kazi Tabora kutoka Mwanza na kumpata huyo mwanamke mambo yote ndo yakaanzia hapo mpaka kufikia hatua ya kumwekea bastola mdogo wake kichwani alipomsema vibaya huyo mkewe[emoji16].
Mwanamke huyu wa Tabora ana nini? Mnatenganisha mtu,familia na wazazi wake
Unataka ukweli? Malalamiko hayo ni ya kawaida sana kwa Tabora. Tatizo? Wanawake wa Tabora ni weprsi wa kukimbilia kwa waganga wa kienyeji lijapo suala la mapenzi. Watumishi wengi wameumizwa na familia nyingi zimeteseka kutokana na tatizo hilo.Habari za muda huu Wakuu wa MMU, naandika kwa huzuni uzi huu kisa ni hiki.
Kaka wa rafiki yangu ni mwanajeshi kituo cha kazi ni Tabora, hana maelewano na ndugu zake yaani rafiki yangu pia na wazazi wake kisa ni mke wake waliyezaa nae watoto wawili.
Tangu ahamishiwe kituo cha kazi Tabora kutoka Mwanza na kumpata huyo mwanamke mambo yote ndo yakaanzia hapo mpaka kufikia hatua ya kumwekea bastola mdogo wake kichwani alipomsema vibaya huyo mkewe[emoji16].
Mwanamke huyu wa Tabora ana nini? Mnatenganisha mtu,familia na wazazi wake
Katosa wazazi Mkuu
Wazazi wanahisi kuna jambo lisilo la kawaida kwa mwanao maana alipokuwa kituo cha kazi Mwanza walikuwa wanaelewana vizuri ila alipoenda Tabora ndo mambo yakaharibikaWazazi waendelee na maisha yao. Au hawakujiandalia maisha yao?
Ngoja ukutwe na mzee wa toronto...agrey mwanry alfu ulelaulelaa, naona unamletea hekaya za abunuasi na essopo.Habari za muda huu Wakuu wa MMU, naandika kwa huzuni uzi huu kisa ni hiki.
Kaka wa rafiki yangu ni mwanajeshi kituo cha kazi ni Tabora, hana maelewano na ndugu zake yaani rafiki yangu pia na wazazi wake kisa ni mke wake waliyezaa nae watoto wawili.
Tangu ahamishiwe kituo cha kazi Tabora kutoka Mwanza na kumpata huyo mwanamke mambo yote ndo yakaanzia hapo mpaka kufikia hatua ya kumwekea bastola mdogo wake kichwani alipomsema vibaya huyo mkewe😁.
Mwanamke huyu wa Tabora ana nini? Mnatenganisha mtu,familia na wazazi wake
Mimi pia nimeishi maeneo hayo. Wanawake wa Tabora huwa wana sifa ya "utekaji" na wakishakuteka unasahau kila kitu kuanzia familia, ndugu, jamaa na marafiki. Hata ulikotoka nako unapasahau mazima.Unataka ukweli? Malalamiko hayo ni ya kawaida sana kwa Tabora. Tatizo? Wanawake wa Tabora ni weprsi wa kukimbilia kwa waganga wa kienyeji lijapo suala la mapenzi. Watumishi wengi wameumizwa na familia nyingi zimeteseka kutokana na tatizo hilo.
Inaonekana waganga wa Tbr ni wajuzi mno wa dawa za mapenzi.
Been there, seen it all. Thanks
Huyo ndugu yako labda atakua mgambo sio mwanajeshiHabari za muda huu Wakuu wa MMU, naandika kwa huzuni uzi huu kisa ni hiki.
Kaka wa rafiki yangu ni mwanajeshi kituo cha kazi ni Tabora, hana maelewano na ndugu zake yaani rafiki yangu pia na wazazi wake kisa ni mke wake waliyezaa nae watoto wawili.
Tangu ahamishiwe kituo cha kazi Tabora kutoka Mwanza na kumpata huyo mwanamke mambo yote ndo yakaanzia hapo mpaka kufikia hatua ya kumwekea bastola mdogo wake kichwani alipomsema vibaya huyo mkewe[emoji16].
Mwanamke huyu wa Tabora ana nini? Mnatenganisha mtu,familia na wazazi wake
Ni askari cheo cha private tu wa kawaidaHuyo ndugu yako labda atakua mgambo sio mwanajeshi