Mwanamke huyu wa Tabora ana nini?

Mimi pia nimeishi maeneo hayo. Wanawake wa Tabora huwa wana sifa ya "utekaji" na wakishakuteka unasahau kila kitu kuanzia familia, ndugu, jamaa na marafiki. Hata ulikotoka nako unapasahau mazima.
Familia inahisi hivyo maana kabadilika ghafla na huyo mwanamke wa Tabora
 
Huyo keshalishwa nyama iliyovundikwa kwenye papuchi kwa siku saba, ni vigumu sana kumtoa huko subirini tu dawa zitaeksipaya zenyewe wataalam wa Tabora ni wazuri sana wa hiyo fani, huyo ndugu yenu hata akipata uhamisho wa lazima itakuwa ngumu mno kumtoa huko, anaweza akachagua kufanya jambo moja kati ya haya mwili;

1~ Kuacha kazi na kutorokea kusikojulikana

2~ Kujipiga risasi/kujinyonga.
 
Mkuu mbona ni hatari sana kama ikitokea hiyo,kwahiyo bora tumuache huko, huyo mke wake anaweza akamuongezea dozi ya dawa juu kwa juu bila kuexpaya
 
Hata akiongezea lakini huwa yanafikia sehemu yanaanza kushindwa kufanya kazi kwa mlengwa hapo ndio anaanza kufumbuka akili
Mkuu mbona ni hatari sana kama ikitokea hiyo,kwahiyo bora tumuache huko, huyo mke wake anaweza akamuongezea dozi ya dawa juu kwa juu bila kuexpaya
 

Nimeishi sana Tabora, na napajua vizuri tu. Wanawake wengi wa Tabora wanajua sana mapenzi na ni wasafi mno, lakini pamoja na hayo yote wengi wao hawana kipato au kazi za kueleweka kwa hyo maisha yao mengi yanaendeshwa kutokana na kuhudumiwa na mwanaume aliyenaye.....wana uaminifu wa kuwa na mwanaume mmoja sio wasumbufu sana kwenye mapenzi katika kuwapata, na wana adabu sana mbele ya mwanaume. Tatizo lao kuu ni wanajua kung'ang'ania mwanaume haswaa, na kwenye kung'ang'ania huko ni lazima aende kwa Mganga. Na asilimia kubwa ya waganga wa Tabora sio matapeli, akimpa dawa huwa inafanya kazi kweli, na dawa za waganga wa Tabora ni very cheap ziko hata za buku 1 mpaka buku 5.... ndugu yenu katengenezwa na hapo hamumchomoi kirahisi, na mkilazimisha aachane na huyo mwanamke basi ni rahisi kwa huyo mwanaume hata kujiua au kuwapotezea nyie ndugu zenu mazima.....
 
Ni hatare sana maana familiya haina amani juu yake
 
Wanawake wa kinyamwezi ni warembo sana na wanajua mapenzi hasa. Na ndo wanaongoza hapa bongo
Mfano Wema Sepetu, Shishi Baby, Hamisa mobeto..nk
 
Ana mahaba motomoto yaliyomdatisha broh

Kazi Umbea Umbea tu...!
 
mwacheni soja ale pesa yake na mwanamke wake walau mishahara ya miezi 24 hivi baada ya hapo ndiyo muaze kupiga vizinga vyenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…