Mwanamke Imara -Lady JayDee

Mwanamke Imara -Lady JayDee

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
378
Reaction score
766
Muda umefika Wanawake kuongoza
Tusikae nyuma wanawake tunaweza
Tushikamane wanawake wanawake tunaweza
Tusikate tamaa wanawake tunaweza
mwanamke simama
Mwanamke kinara, wewe ni imara

Tusikate tamaa, tusimame sisi mashujaa
Sisi ndo vinara tuko imara
Uongozi sasa tayari tumetwaa
Siasa na afya tuko imara
Haki sawa kwa mwanamke ,
Elimu bora jinsia zote kila mtu ana haki eeh

Kushirikishwa kwa mwanamke, Mipango,sera na bajeti
mwanamke ana haki eeh
Mwanamke simama imara
Ongoza mapambano wewe ni imara
 
Back
Top Bottom