Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Ina maana kukamatwa kwa Samsoni kuliidhalilisha na kuiacha uchi Israel? Tuambie kivipi? Na Samson alipojitoa muhanga kwa kuangusha jengo la Wafilisti na kuwauwa wengi ikiwemo Wafalme wao na mungu wa Wafilisti (Sanamu ya Dagoni) huku akiwa kipofu ilikuwa kumdhalilisha nani?Moja ya wanawake ambao taifa la Israel halitakaa limsahau. Mwanamke ambaye Israel ilichezea kichapo kitakatifu na kudhalilika vibaya mno. Mwanamke mzalendo aliyeiabisha Israel na kuivua nguo ikabaki uchi wa mbuzi mee. Huyu ndiye mwanamke Jasusi wa wakati wote ambaye Taifa la Israel halitaki kumsikia kabisa.