Ina maana kukamatwa kwa Samsoni kuliidhalilisha na kuiacha uchi Israel? Tuambie kivipi? Na Samson alipojitoa muhanga kwa kuangusha jengo la Wafilisti na kuwauwa wengi ikiwemo Wafalme wao na mungu wa Wafilisti (Sanamu ya Dagoni) huku akiwa kipofu ilikuwa kumdhalilisha nani?Moja ya wanawake ambao taifa la Israel halitakaa limsahau. Mwanamke ambaye Israel ilichezea kichapo kitakatifu na kudhalilika vibaya mno. Mwanamke mzalendo aliyeiabisha Israel na kuivua nguo ikabaki uchi wa mbuzi mee. Huyu ndiye mwanamke Jasusi wa wakati wote ambaye Taifa la Israel halitaki kumsikia kabisa.
Hadi wamempa vipengele katika maandiko wata wezaje kumsahau?Duuuh kama ni hivyo kweli hawatamsahau huyo mdada[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku anakutana na Delila alikuwa katoka kwenye nyumba ya malaya (danguro). Jamaa alikuwa mnunuaji yule, Delila hakupona!..
Ina maana kukamatwa kwa Samsoni kuliidhalilisha na kuiacha uchi Israel? Tuambie kivipi? Na Samson alipojitoa muhanga kwa kuangusha jengo la Wafilisti na kuwauwa wengi ikiwemo Wafalme wao na mungu wa Wafilisti (Sanamu ya Dagoni) huku akiwa kipofu ilikuwa kumdhalilisha nani?
Nimekuelewa!Kaka Sam alilipa kisasi chake binafsi na si kisasi cha taifa lake. Ndio maana hata ombi lake kwa Mungu lipo kiubinafsi na si kitaifa. Tunajifunza nini hapa; Ni kuwa kuna watu kwenye jamii wanapaswa waache mambo yao binafsi kwa maslahi ya taifa. Kujiua kwa Samson hakukuondoa mateso ya Waisrael dhidi ya Wafilisti bali kulisuuza moyo wa Sam kwa kulipa kisasi.
Maelezo haya akili yako iamue sasa ni nani alivuliwa nguo katika ngazi ya taifa.
Ni kweli! Kwenye biblia kuna Visa kadhaa jinsi wanawake walivyotumika kuokoa taifa (rejea kitabu cha waamuzi kisa cha Debora, Baraka na Mfalme Sisera au Malkia Esta,Modekai na Hamani) na kuangusha wafalme na kuharibu nchi (rejea kisa cha mfalme Ahabu na mkewe Yezebeli) hii inaonesha wanawake wanaweza kuwa chanzo cha kuinuka au kuanguka kwa Taifa.Sawa Mkuu.
Hujiulizi kwa nini kisa hicho kiliandikwa kwenye Bible Mkuu. Mbinu hiyo Israel waliiga na kuitumia kwa Malkia Ester na ikafanya kazi. Hata kitabu cha Tobiti kama sijakosea kinakisa mfano wa hiki
Ni kweli! Kwenye biblia kuna Visa kadhaa jinsi wanawake walivyotumika kuokoa taifa (rejea kitabu cha waamuzi kisa cha Debora, Baraka na Mfalme Sisera au Malkia Esta,Modekai na Hamani) na kuangusha wafalme na kuharibu nchi (rejea kisa cha mfalme Ahabu na mkewe Yezebeli) hii inaonesha wanawake wanaweza kuwa chanzo cha kuinuka au kuanguka kwa Taifa.
Kwa kurejea hayo matukio ya kwenye biblia na mke wa mfalme Louis IX Je unahitimisha ni halali wanawake kupewa fursa sawa na Wanaume (yaani 50/50) katika ngazi zote maana wameonekana ni chanzo cha kuinuka na kuanguka kwa Taifa?Haswa, sasa njoo kwa Maria Antonete mke wa Mfalme Louis IX kama sijakosea wa Ufaransa
Kwa kurejea hayo matukio ya kwenye biblia na mke wa mfalme Louis IX Je unahitimisha ni halali wanawake kupewa fursa sawa na Wanaume (yaani 50/50) katika ngazi zote maana wameonekana ni chanzo cha kuinuka na kuanguka kwa Taifa?
Sababu za kupinga mkuu au una mfumo dume?Binafsi hili nalipinga ikibidi kifo
Teh teh teh teh! haya bhana!!!!! teh japo 'feminists' hawatalipenda hili.Dunia ni mfumo dume Mkuu. Bila mfumo dume hakuna usalama