Mwanamke Jela miaka 29 kwa kumbaka mtoto mdogo wa kiume mwenye miaka 8

Usiamini kila kitu kinachosemwa akili ya kuambiwa changanya na yakwako Dunia ina mengi nyuma ya pazia
 
Mambo mengine hatujui. She looks innocent. Ngoja nikaushe.
 
Duhh...hii ndo dunia bana usiyodhania kwako kwa mwingine inawezekana...
 
Huu ni mpango wa kumficha huyo mama she's innocent, in short ni kwamba mama amegoma kuachia ardhi inayotakiwa na mabwanyenye, naendelea kukusanya data soon nitaleta uzi hapa,,
Naomba ukileta huo uzi unitag, endelea kukusanya data
 
Mahakama ya Wilaya ya Iringa, mkoani Iringa imemhukumu mkazi wa Kijiji cha Lumuli wilayani Iringa, Desderia Mbwelwa (57) (katikati) miaka 29 jela kwa kosa la unyanyasaji wa kingoni ...
Ushauri: Huyo mama apimwe HIV kama hana na dogo alisimamisha mimi naona hamna kesi hapo mwacheni mmama wa watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…