Nyanda Banka
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 304
- 1,054
Nhii ndo ile kwetu mwanza nyegeziiMahakama ya Wilaya ya Iringa, mkoani Iringa imemhukumu mkazi wa Kijiji cha Lumuli wilayani Iringa, Desderia Mbwelwa (57) (katikati) miaka 29 jela kwa kosa la unyanyasaji wa kingoni (grave sexual harassment) mtoto wa kiume mwenye miaka nane wakati kijana huyo akiwa anachunga ng’ombe ndipo mama huyo akamlazimisha kufanya naye mapenzi.
Picha na Friday Simbaya
View attachment 2647306