Mwanamke jifunze kusema asante unapofanyiwa kitu na mwanaume wako

Mshamba wa kusini

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2015
Posts
2,857
Reaction score
3,593
Yani wanawake wengine sijui wapoje yani mwanaume anajipinda anakufanyia kitu
Lakini kusema asante tu ni shida.

Hii kitu inapunguza sana morali ya kuwafanyie vitu
Vizuri maana mtu hana shukuraani ya nini umsumbukie?

Na leo sitoi hela ya SIKUKUU sasa jitu zima halina
Shukrani. *****.
 
Sasa si umuambie huyo mwanamke wako huko huko, huku sisi tukusaidiaje?
Kuna wenzio baada ya show wanaambiwa ahsate na kulambwa koni kufuta uchafu.

Wee unakwama wapiii? Poleeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Punguza stress za maisha dada huu ni mtandao tunaweka hapa ili wengine wajifunze
 
Yani wanawake wengine sijui wapoje yani mwanaume anajipinda anakufanyia kitu
Lakini kusema asante tu ni shida.

Hii kitu inapunguza sana morali ya kuwafanyie vitu
Vizuri maana mtu hana shukuraani ya nini umsumbukie?

Na leo sitoi hela ya SIKUKUU sasa jitu zima halina
Shukrani. *****.
Kwa wanawake wa kizazi hiki hawajui thamani ya neno "Asante" na neno "Samahani "
Yaani akikosea hawezi kujishusha na kuomba radhi na ukimfanyia kitu kizuri hawezi kusema Asante.
Mfano mdada anakuomba umtumie vocha unamtumia baada ya hapo unamwona online hata kukutext tu kwamba asante hapana!
Mpaka wewe ndo umpigie kumuuliza kama vocha uliyomtumia imefika!
 
Asante yake ni kukupa Mbunye umtombe
 
Kwa wanawake wa kizazi hiki hawajui thamani ya neno "Asante" na neno "Samahani "
Yaani akikosea hawezi kujishusha na kuomba radhi na ukimfanyia kitu kizuri hawezi kusema Asante.
Mfano mdada anakuomba umtumie vocha unamtumia baada ya hapo unamwona online hata kukutext tu kwamba asante hapana!
Mpaka wewe ndo umpigie kumuuliza kama vocha uliyomtumia imefika!
Hii kitu inakata sana mkuu wanahisi ni haki yao sisi kuwapa vitu vyetu
 
Yani wanawake wengine sijui wapoje yani mwanaume anajipinda anakufanyia kitu
Lakini kusema asante tu ni shida.

Hii kitu inapunguza sana morali ya kuwafanyie vitu
Vizuri maana mtu hana shukuraani ya nini umsumbukie?

Na leo sitoi hela ya SIKUKUU sasa jitu zima halina
Shukrani. *****.
Aisee labda huko kwingine, mwanamke wa kitanga hata ukimkojoza lazima akushukuru, akusifie, akupanguse na taulo lililo loweshwa na maji ya Moto.
TANGA sihami.
 
Back
Top Bottom