Mwanamke jifunze kusema asante unapofanyiwa kitu na mwanaume wako

Mwanamke jifunze kusema asante unapofanyiwa kitu na mwanaume wako

Yani wanawake wengine sijui wapoje yani mwanaume anajipinda anakufanyia kitu
Lakini kusema asante tu ni shida.

Hii kitu inapunguza sana morali ya kuwafanyie vitu
Vizuri maana mtu hana shukuraani ya nini umsumbukie?

Na leo sitoi hela ya SIKUKUU sasa jitu zima halina
Shukrani. *****.
Kuna watu watasema Tafuta hela...Lakini umesema ukweli huyo kama sio mkeo usimpe tena
 
Mkuu shukuru sana
We TANGA acha tu.
Mnaweza mkala mihogo na mchuzi wa Papa lakini hutasikia mwanamke akilalamika na usiku Kama kawa unapewa haki yako ya kikatiba.
Hivi kwa wanaume tulio oa TANGA, Kuna mwenye mchepuko au Kuna anaye thubutu kutembea nje ya ndoa?
 
Kuna watu wamelelewa hivyo toka kwao, kushukuru ni mtihani kwao hata umfanyie nini!
 
Back
Top Bottom