Mwanamke jifunze kusema asante unapofanyiwa kitu na mwanaume wako

Mwanamke jifunze kusema asante unapofanyiwa kitu na mwanaume wako

Kuna mmoja tulikua twaongea, nikamtumia hela wakati huo huo, akaniambia tu, “nimeona message yako” kisha akaendelea na mazungumzo kama hakujatokea kitu
 
Huyo hakupendi ila inakata sana unamfanyia mtu kitu hata kushukuru hakuna na ni mpenzi wako. Ukimwambia ndio anajifanya "ooh thorii nilijithahau"
 
Na nyie Wanaume muwe munawasifia wanawake zenu kwa kuwapikia mkala chakula kitamu kama afanyavyo mume wangu mtarajiwa

Mkitusifia ndo tutasema asante
 
Back
Top Bottom