Mwanamke jifunze kusema asante unapofanyiwa kitu na mwanaume wako

Kuna watu watasema Tafuta hela...Lakini umesema ukweli huyo kama sio mkeo usimpe tena
 
Mkuu shukuru sana
We TANGA acha tu.
Mnaweza mkala mihogo na mchuzi wa Papa lakini hutasikia mwanamke akilalamika na usiku Kama kawa unapewa haki yako ya kikatiba.
Hivi kwa wanaume tulio oa TANGA, Kuna mwenye mchepuko au Kuna anaye thubutu kutembea nje ya ndoa?
 
Kuna watu wamelelewa hivyo toka kwao, kushukuru ni mtihani kwao hata umfanyie nini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…