miviga JF-Expert Member Joined Jan 27, 2024 Posts 1,721 Reaction score 6,037 Jun 17, 2024 #41 Kuna mmoja tulikua twaongea, nikamtumia hela wakati huo huo, akaniambia tu, “nimeona message yako” kisha akaendelea na mazungumzo kama hakujatokea kitu
Kuna mmoja tulikua twaongea, nikamtumia hela wakati huo huo, akaniambia tu, “nimeona message yako” kisha akaendelea na mazungumzo kama hakujatokea kitu
Mshamba wa kusini JF-Expert Member Joined Jun 30, 2015 Posts 2,857 Reaction score 3,593 Jun 17, 2024 Thread starter #42 Husninyo said: Pole ila mpe tu hela ya sikukuu Click to expand... Hii nimegomesha walahi sitoi hata mia jitu halina hata shukurani
Husninyo said: Pole ila mpe tu hela ya sikukuu Click to expand... Hii nimegomesha walahi sitoi hata mia jitu halina hata shukurani
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 38,283 Reaction score 97,793 Jun 18, 2024 #43 Huyo hakupendi ila inakata sana unamfanyia mtu kitu hata kushukuru hakuna na ni mpenzi wako. Ukimwambia ndio anajifanya "ooh thorii nilijithahau"
Huyo hakupendi ila inakata sana unamfanyia mtu kitu hata kushukuru hakuna na ni mpenzi wako. Ukimwambia ndio anajifanya "ooh thorii nilijithahau"
Nyamwi255 JF-Expert Member Joined Dec 2, 2022 Posts 4,848 Reaction score 12,776 Jun 18, 2024 #44 Na nyie Wanaume muwe munawasifia wanawake zenu kwa kuwapikia mkala chakula kitamu kama afanyavyo mume wangu mtarajiwa Mkitusifia ndo tutasema asante
Na nyie Wanaume muwe munawasifia wanawake zenu kwa kuwapikia mkala chakula kitamu kama afanyavyo mume wangu mtarajiwa Mkitusifia ndo tutasema asante
P Pesanyingi JF-Expert Member Joined Apr 15, 2023 Posts 1,157 Reaction score 1,983 Jun 18, 2024 #45 Mshamba wa kusini said: Kuna jitu juzi kati nimelitumia laki nne hata asante halijasema Click to expand... Ungemtumia mama yako kuliko kulitumia Li mbuzi ambalo kuna siku litakuliza.
Mshamba wa kusini said: Kuna jitu juzi kati nimelitumia laki nne hata asante halijasema Click to expand... Ungemtumia mama yako kuliko kulitumia Li mbuzi ambalo kuna siku litakuliza.
Mshamba wa kusini JF-Expert Member Joined Jun 30, 2015 Posts 2,857 Reaction score 3,593 Jun 18, 2024 Thread starter #46 Pesanyingi said: Ungemtumia mama yako kuliko kulitumia Li mbuzi ambalo kuna siku litakuliza. Click to expand... Nimejifunza mkuu
Pesanyingi said: Ungemtumia mama yako kuliko kulitumia Li mbuzi ambalo kuna siku litakuliza. Click to expand... Nimejifunza mkuu
Mshamba wa kusini JF-Expert Member Joined Jun 30, 2015 Posts 2,857 Reaction score 3,593 Jun 18, 2024 Thread starter #47 Nyamwi255 said: Na nyie Wanaume muwe munawasifia wanawake zenu kwa kuwapikia mkala chakula kitamu kama afanyavyo mume wangu mtarajiwa Mkitusifia ndo tutasema asante Click to expand... Mi nasifia sana tu
Nyamwi255 said: Na nyie Wanaume muwe munawasifia wanawake zenu kwa kuwapikia mkala chakula kitamu kama afanyavyo mume wangu mtarajiwa Mkitusifia ndo tutasema asante Click to expand... Mi nasifia sana tu