Mwanamke jifunze uikalia pichu yako.

Mwanamke jifunze uikalia pichu yako.

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Inakuwa hivi, umesikia tetesi kuwa mume ana mchepuko, mwanaume huyu mlioana akiwa anamiliki baiskeli na anaishi kwenye chumba. Wazazi pia walimuona he is just a waste of space lakini ulimpenda sana mpaka wazazi waliruhusu ndoa.

Baada ya harusi ulitaka kuwanyamazisha midomo wale waliokuona umeolewa na apeche alolo. Zile hela za field ulishea chumba na mtu ulihakikisha zimebaki na umeweza kununu kiwanja.

Hubby nae alikupiga tough, nyumba ya nyuma imekwisha yenye vyumba vitatu vya kulala na mmezungushia fence eneo lote sasa mko kwenu.

Leo hubby amerudi asubuhi, kimekuuma umemhadithia shoga Kidawa. Shoga amekupa pole na jioni amemhadithia binamu yako Irene. Irene ameyafikisha kwa mama yako. Wote wanaona umeenda kumnufaisha huyu mwanaume.

Vikao vya familia vimeanza, wanashauri uondoke kabla hajakuletea maradhi.

Haya ni mambo ambayo mgeweza kuyamaliza wenyewe. Sasa una hasira na shost Kidawa. Kidawa angeyajuaje kama usingemwambia!

Matatizo yako shost ni pichu yako haitakiwi kuonekana na mwingine zaidi ya mume wako.
 
Inakuwa hivi, umesikia tetesi kuwa mume ana mchepuko, mwanaume huyu mlioana akiwa anamiliki baiskeli na anaishi kwenye chumba. Wazazi pia walimuona he is a waste of space lakini ulimpenda sana mpaka wazazi waliruhusu ndoa.

Baada ya harusi ulitaka kuwanyamazisha midomo wale waliokuona umeolewa na apeche alolo. Zile hela za field ulishea chumba na mtu ulihakikisha zimebaki na umeweza kununu kiwanja.

Hubby bae alikupiga tough sasa nyumba ya nyuma imekwisha yenye vyumba viatatu vya kulala imekwisha na mmezungushia fence eneo lote sasa mko kwenu.

Leo hubby amerudi asubuhi, kimekuuma umemhadithia shoga Kidawa. Shoga amekupa pole na jioni amemhadithia binamu yako Irene. Irene ameyafikisha kwa mama yako. Wote wanaona umeenda kumnufaisha huyu mwanaume.

Haya ni mambo ambayo mgeweza kuyaliza wenyewe. Sasa una hasira na shost Kidawa. Kidawa angeyajuaje kama usingemwambia!
Natamani kujua tu ata jina lako....!

Watu wanatengana kutokana na maneno ya watu amna kingine....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni ushauri mzuri. Ila uanaume wa mtu haupimwi kutokana na wingi wa vimada alivyonavyo. Uanaume wa mtu unapimwa kutokana na ujasiri na kuamua kutulia na mkewe..

Ni kutulia tu, Adam alitulia kwa Hawwa
 
Mkae chini myaongee na mumeo, si ajabu kuna idara unatakiwa kujiongeza.
 
Mwanamke afiche siri, amerogwa? Utamla uroda mke wa mtu na kuahaidiana msiwaambie watu iwe siri yenu tu....utashangaa ukipita mtaani kila mdada anafungua dirisha kukuangalia na kukuhamkia huku akitabasamu (anakutega ili ummege na yeye).
 
Inakuwa hivi, umesikia tetesi kuwa mume ana mchepuko, mwanaume huyu mlioana akiwa anamiliki baiskeli na anaishi kwenye chumba. Wazazi pia walimuona he is a waste of space lakini ulimpenda sana mpaka wazazi waliruhusu ndoa.

Baada ya harusi ulitaka kuwanyamazisha midomo wale waliokuona umeolewa na apeche alolo. Zile hela za field ulishea chumba na mtu ulihakikisha zimebaki na umeweza kununu kiwanja.

Hubby nae alikupiga tough, nyumba ya nyuma imekwisha yenye vyumba viatatu vya kulala na mmezungushia fence eneo lote sasa mko kwenu.

Leo hubby amerudi asubuhi, kimekuuma umemhadithia shoga Kidawa. Shoga amekupa pole na jioni amemhadithia binamu yako Irene. Irene ameyafikisha kwa mama yako. Wote wanaona umeenda kumnufaisha huyu mwanaume.

Vikao vya familia vimeanza, wanashauri uondoke kabla hajakuletea maradhi.

Haya ni mambo ambayo mgeweza kuyaliza wenyewe. Sasa una hasira na shost Kidawa. Kidawa angeyajuaje kama usingemwambia!

Matatizo yako shost ni pichu yako haitakiwi kuonekana na mwingine zaidi ya mume wako.
Unafikiri ulivyowambia huu ukweli watajitokeza! Thubutuu'' hawapendi ukweli, wanawake akili zao wanazijua wao japo wataalam wanatuaminisha kua wana ubongo nusu Kilo, ila kimtazamo ni kama vile wanayo robo Kilo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inakuwa hivi, umesikia tetesi kuwa mume ana mchepuko, mwanaume huyu mlioana akiwa anamiliki baiskeli na anaishi kwenye chumba. Wazazi pia walimuona he is a waste of space lakini ulimpenda sana mpaka wazazi waliruhusu ndoa.

Baada ya harusi ulitaka kuwanyamazisha midomo wale waliokuona umeolewa na apeche alolo. Zile hela za field ulishea chumba na mtu ulihakikisha zimebaki na umeweza kununu kiwanja.

Hubby nae alikupiga tough, nyumba ya nyuma imekwisha yenye vyumba viatatu vya kulala na mmezungushia fence eneo lote sasa mko kwenu.

Leo hubby amerudi asubuhi, kimekuuma umemhadithia shoga Kidawa. Shoga amekupa pole na jioni amemhadithia binamu yako Irene. Irene ameyafikisha kwa mama yako. Wote wanaona umeenda kumnufaisha huyu mwanaume.

Vikao vya familia vimeanza, wanashauri uondoke kabla hajakuletea maradhi.

Haya ni mambo ambayo mgeweza kuyaliza wenyewe. Sasa una hasira na shost Kidawa. Kidawa angeyajuaje kama usingemwambia!

Matatizo yako shost ni pichu yako haitakiwi kuonekana na mwingine zaidi ya mume wako.
Nimeacha rasmi kuchepuka...
 
Wanawake wasikuizi muda wote midomo inawasha yuko radhi kumweleza rafiki yake mamb yanayotendeka kwake bila kujari athali inayoweza kujitokeza.
 
Back
Top Bottom