Mwanamke jifunze uikalia pichu yako.

Mwanamke afiche siri, amerogwa? Utamla uroda mke wa mtu na kuahaidiana msiwaambie watu iwe siri yenu tu....utashangaa ukipita mtaani kila mdada anafungua dirisha kukuangalia na kukuhamkia huku akitabasamu (anakutega ili ummege na yeye).
🀣🀣🀣🀣🀣🀣Mkuu umenichekesha mnooo πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Ni ushauri mzuri. Ila uanaume wa mtu haupimwi kutokana na wingi wa vimada alivyonavyo. Uanaume wa mtu unapimwa kutokana na ujasiri na kuamua kutulia na mkewe..

Ni kutulia tu, Adam alitulia kwa Hawwa
Lakini hawa alishindwa kutulia na adam, akamsikiliza nyoka!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umbea Damuni! Mada Za Kike Wanaume Tunataka Nn? Eti Tunawakilisha Wake Zetu,,!
 
Nimejikuta nakuelewa tu. Na hii huenda ikakoma endapo watu watajua madhara ya kuhadithia hadithia hovyo siri za ndani.

Wanasemaga saa nyingine vipo ambavyo vikitolewa ahueni ya moyo huwa inapatikana na kama ni hivyo nadhani kikubwa ni kuangalia na wa kumwambia sababu si kila mtu anaambilika.
 
Ungekuwa huna Mume, ungestahili ndoa haraka sana kwa speed ya SGR
 
Una point sana dada mkuu, sisemei michepuko ila inaudhi sana ukaenda kusikia vitu vya ndani huko nje. Mfano huyo aliyeenda kutangaza mume anamchiti, na mmewe akijitetea huko huko nje kwamba mkewe si msafi hamvutii itakuwaje?
 
Una point sana dada mkuu, sisemei michepuko ila inaudhi sana ukaenda kusikia vitu vya ndani huko nje. Mfano huyo aliyeenda kutangaza mume anamchiti, na mmewe akijitetea huko huko nje kwamba mkewe si msafi hamvutii itakuwaje?
Na wazazi wa mke hawaelewi mchango wa jamaa katika maisha ya binti yao. Hali ya furaha wanayomuona nayo ni kutokana na care ya anayopata ambayo no money can buy
 
Asanteeee mama!!!
Tufunde tufundike haswaaaa[emoji108][emoji108]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…