Halafu Don mtu akilewa anayoyaongea yote inabidi umwamini sababu anaongea ukweli mtupu hahah umenichekesha hiyo ukinywa heineken
Hahahahahaaa. Mimi nasemaga ukweli. Shunie ndo my ride or die humuIla aliniambia tukiwa tumeshakunywa, sikuwa na uhakika ni pombe au akili yake...
Make akili za pombe hazielewekagi. Mi nikinywa Heineken naongea English safi tofauti na nikinywa Safari. Siku hiyo ilikuwa ni Heineken
Ukisema iwe imevuka gotSio vimini. Vimini kwanza unavaa ukienda wapi. Nguo kwenye goti au pencils mboba nzuri tuu
Kwanini utoe siri lakini? Kwanza naacha kutoka beb hapendi [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha ndio pombe inavyokutuma sasa mwenyewe nikishalewa heineken zangu huwa naharibu sana kesho sasa zikiisha sasaUmenikumbusha hapo kwenye kusema ukweli, shida ni pale unausema ukweli ambao hata hukutaka kuusema.
Unajikuta tu umeshasema.
Uende kanisani wewe, mwanaume ana akili sana huyo. Mwanamke asiyependa kusali hawezi kuisimamia nyumba na ndoa yake(more often).Future tutajua baadae
Hapana kwakweli me mwanamkeUnaona sasa. Wenzio wengine hata nywele hawataki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hana kifua huyo
Sasa mimi namuaga. Na saa ingine namwambia njoo anakuja. Ila bado anasema nikae ndani. Na natokaga Friday tu nikitoka ofisini naunga mtaani. Juzi kanirudisha home saa 4 yani basi tuuBaby wivu unamsumbua...
Yeye awe mpole utabadilika tu. Ila hata mimi nadhani pasingetosha, au kama vipi niwajue marafiki unaotoka nao angalau.