Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
- Thread starter
- #281
Kujichubua ni jambo lingine na linashika kasi kweliushauri huu unapaswa kuangaliwa kwa jicho la pekee. Kwa mtazamo wangu naona haya ni muhimu;
1. Unadhifu ni zaidi ya kujipodoa na kujichubua
2. Urembo ni tabia ya mtu. Hawezi kujiremba kama sio mtu aliyezoea kujiremba na kupangilia vipodozi
3. Urembo na unadhifu sio suala la kipato, hata kwa kipato kidogo tu mtu unajiweka sawa.
4. Mwanaume ni mdau namba moja kwa urembo na unadhifu wa mke wake.
5. N.k