Mwanamke Jipende Natural Achia Misitu

Mwanamke Jipende Natural Achia Misitu

Hapo kwenye mawig mnatakiwa muelewe sio kila mwanamke ana nywele za kuchana kurudi nyuma. Wengine tuna kipilipili hakifai hata kusuka minyoosho.
Mi sina kipilipil nna nywele nzuri tu lakini nanyoa na wigi navaa,ila wig sio daily,najiamini pia kutembea bila wig hata kama kichwa changu kama boksi
 
Ngoja nikisaidie...

Carbamazaphine unaitwa huku...

Jina gumu sijui kama nimepatia [emoji4][emoji4]
Hahahahahaa. Ukute aliita na mwingine. Utamkosesha mwenzio joto kwa mvua hii
 
Mwambie ajiamini, tatizo huwa ni moja, kama hujazoea kuwa na uhusiano na mwanamke mzuri, msomi na anayejiamini kuna shida lazima uipate ukiingia first time.

You are that type, you are headache to most of us men. So once inferior always inferior.
Kama ni hivyo si itakua kazi yeye kuniamini
 
Haha uko vizuri sasa vipi kuhusu make up,wigs zake usiwe unachoma bana,kuna siku mtu hujisikii kusuka na nywelr zimekaa ovyo unawaza utatokaje ila ukiwa na kawigi kako unakatupia tu.Wengine kufunga malemba ili kuficha ya kichwani ni wavivu kama mimi vilemba jaman.uwi
Mi hata kufunga siwezi. Nishazoea kawig nakatupia basi natoka
 
Mi sina kipilipil nna nywele nzuri tu lakini nanyoa na wigi navaa,ila wig sio daily,najiamini pia kutembea bila wig hata kama kichwa changu kama boksi
Mi nina kipilipili matata. Hakishiki dawa chekundu si chekundu brown si brown. Na nshajijua mwenyewe ndo maana siigi style za watu za kunyoa sijui kuachia nywele fupi najua ntakua kituko na kakichwa kangu kama pera
 
sijakupinga Mkuu, ila mawigi kwangu marufuku, huwa namwambia hupendezi
Na yeye hayapendi au ndo anaacha kisa beb kasema hapendezi? Mi ex wangu alikua anajua napenda nywele na nikimuomba aninunulie wala hagomi
 
Na yeye hayapendi au ndo anaacha kisa beb kasema hapendezi? Mi ex wangu alikua anajua napenda nywele na nikimuomba aninunulie wala hagomi

mwanzo naona nilikuwa namkwaza lakini sasa nina miaka si chini ya miwili siyaoni kichwan, kayapotezea, shida ni kwamba mi si mtu wa kuchekacheka, sasa hata nikisema kitu kwa utani huonekana namaanisha tu..
 
Kwahiyo hadi wifi unamkazia mkuu?
 
Back
Top Bottom