Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi sina kipilipil nna nywele nzuri tu lakini nanyoa na wigi navaa,ila wig sio daily,najiamini pia kutembea bila wig hata kama kichwa changu kama boksiHapo kwenye mawig mnatakiwa muelewe sio kila mwanamke ana nywele za kuchana kurudi nyuma. Wengine tuna kipilipili hakifai hata kusuka minyoosho.
Kama ni hivyo si itakua kazi yeye kuniaminiMwambie ajiamini, tatizo huwa ni moja, kama hujazoea kuwa na uhusiano na mwanamke mzuri, msomi na anayejiamini kuna shida lazima uipate ukiingia first time.
You are that type, you are headache to most of us men. So once inferior always inferior.
Hapo kwenye mawig mnatakiwa muelewe sio kila mwanamke ana nywele za kuchana kurudi nyuma. Wengine tuna kipilipili hakifai hata kusuka minyoosho.
Mi hata kufunga siwezi. Nishazoea kawig nakatupia basi natokaHaha uko vizuri sasa vipi kuhusu make up,wigs zake usiwe unachoma bana,kuna siku mtu hujisikii kusuka na nywelr zimekaa ovyo unawaza utatokaje ila ukiwa na kawigi kako unakatupia tu.Wengine kufunga malemba ili kuficha ya kichwani ni wavivu kama mimi vilemba jaman.uwi
Mi nina kipilipili matata. Hakishiki dawa chekundu si chekundu brown si brown. Na nshajijua mwenyewe ndo maana siigi style za watu za kunyoa sijui kuachia nywele fupi najua ntakua kituko na kakichwa kangu kama peraMi sina kipilipil nna nywele nzuri tu lakini nanyoa na wigi navaa,ila wig sio daily,najiamini pia kutembea bila wig hata kama kichwa changu kama boksi
Walaaaaah angesuka tuuHahahaaha
Na yeye hayapendi au ndo anaacha kisa beb kasema hapendezi? Mi ex wangu alikua anajua napenda nywele na nikimuomba aninunulie wala hagomi
Kama ni hivyo si itakua kazi yeye kuniamini
Kwahiyo hadi wifi unamkazia mkuu?mwanzo naona nilikuwa namkwaza lakini sasa nina miaka si chini ya miwili siyaoni kichwan, kayapotezea, shida ni kwamba mi si mtu wa kuchekacheka, sasa hata nikisema kitu kwa utani huonekana namaanisha tu..
Hata nikiwaza sitaelewa kwa kweli. Nyie ndo mnajijuaa zaidi