Mwanamke Jipende Natural Achia Misitu

Mwanamke Jipende Natural Achia Misitu

Umenikumbusha hapo kwenye kusema ukweli, shida ni pale unausema ukweli ambao hata hukutaka kuusema.

Unajikuta tu umeshasema.
Hahahaha ndio pombe inavyokutuma sasa mwenyewe nikishalewa heineken zangu huwa naharibu sana kesho sasa zikiisha sasa
 
Future tutajua baadae
Uende kanisani wewe, mwanaume ana akili sana huyo. Mwanamke asiyependa kusali hawezi kuisimamia nyumba na ndoa yake(more often).

Unaona jamaa anakufosi lakini kumbe anafosi vitu vya msingi, badae usije kulaumu kuwa umekuwa fungu la kukosa while wewe ni mrembo/mzuri wa sura etc.
 
Unaona sasa. Wenzio wengine hata nywele hawataki
Hapana kwakweli me mwanamke
Cha Kwanza n nywele ndo naanzaga
nacho

Sasa mm n nyoe na wife anyoe huko
Ndan Sasa kuna mvuto gan
Naona Kama tunakaa tu madume
wote
 
Mke wangu upo humi ndani nadhani umeskia.....

nilikua najipanga nikwambie lakn naona hapa Mzigua mwenzangu amenisaidia kazi.....

sasa lile wigi lakp kama mchina mzee silitaki plus lile gauni lako la ajabu ajabu kama msimamiz wa harasi pia silitaki.
 
Baby wivu unamsumbua...

Yeye awe mpole utabadilika tu. Ila hata mimi nadhani pasingetosha, au kama vipi niwajue marafiki unaotoka nao angalau.
Sasa mimi namuaga. Na saa ingine namwambia njoo anakuja. Ila bado anasema nikae ndani. Na natokaga Friday tu nikitoka ofisini naunga mtaani. Juzi kanirudisha home saa 4 yani basi tuu
 
Back
Top Bottom