Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapo sina jibu la moja kwa moja.Ushawahi kupigwa biti baada ya kuzifuta zote?
Mimi mzima khofu kwako tu
Teh teh nimekuelewa nazani sipo mwenyewe.hapo sina jibu la moja kwa moja.
Mimi niko poa kabisa
binti yoyote wa kiafrika tunamwita black beauty kwa kuwa ni fahari ya afrikaHivi nani kasema mi black beauty? Rangi yangu haieleweki kama mweupe au mweusi [emoji23]
michepukoMasuria ni nini mkuu?