Mwanamke jitambue

Mwanamke jitambue

lugoda12

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
276
Reaction score
574
TABASAMU lako ndio furaha yako ya mwili. Jipende na kujiweka kama mwanamke mwenye heshima na akili. Tambua kwamba mwanaume wa kweli ni yule anayejua thamani yako na kukujali kwa kila kitu! ❤️
 
Izo akili huwa wanazipata wakishakua makapi(30+)
 
Back
Top Bottom