Mwanamke kama ameshafika miaka 30 na kuendelea waachie wazee

Mama Ametufikia

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2024
Posts
535
Reaction score
1,395
Kama Mwanamke ana miaka kuanzia 30 , wewe Kama Kijana huyo Mwanamke achana nae atakusumbua .

Wengi hasa Tanzania wanakuwa wametumika Sana kama hajazaa ujue ameshatoa mimba n, P2 n.k

Nb nazungumzia wanaotafuta ndoa
 
Umeongea utopolo.. 30+ bado mmbichi.. mwanamke anazeeka akianza kuwa na wajukuu. Kama Bibi Kajala
 
Acha ushamba wewe ,miaka 30 mtu kazeeka ? ,hivi unajielewa kweli wewe ?
 
Kama Mwanamke ana miaka kuanzia 30 , wewe Kama Kijana huyo Mwanamke achana nae atakusumbua .

Wengi hasa Tanzania wanakuwa wametumika Sana kama hajazaa ujue ameshatoa mimba n, P2 n.k

Nb nazungumzia wanaotafuta ndoa
Wazee wenyewe unadhani wanakubali? Wanataka wabichi
 
Kama Mwanamke ana miaka kuanzia 30 , wewe Kama Kijana huyo Mwanamke achana nae atakusumbua .

Wengi hasa Tanzania wanakuwa wametumika Sana kama hajazaa ujue ameshatoa mimba n, P2 n.k

Nb nazungumzia wanaotafuta ndoa
Formula ya ndoa anaijua Mungu mwenyewe kwani wengine hawatafuti wanaume na wanazaidi ya 30s sio walevi wala Malaya lakini hawajaolewa
 
Aisee
Usituharibie mishe zetu
Wanakuaga watamu hao....hata orgasm wanakua washawahi kupata
Hawa under 27 hawa enjoy kitu wanachokonol--ew-a tu 🤣🤣
 
Back
Top Bottom