Mama Ametufikia
JF-Expert Member
- Jul 17, 2024
- 535
- 1,395
Kutumia sawa Ila sio kuoaKiutumikaji,
Nafuu hao 30yrs waliozaliwa miaka ya 90
Kuliko hao below 20s waliozaliwa miaka ya 2000+
Umeongea utopolo.. 30+ bado mmbichi.. mwanamke anazeeka akianza kuwa na wajukuu. Kama Bibi KajalaKama Mwanamke ana miaka kuanzia 30 , wewe Kama Kijana huyo Mwanamke achana nae atakusumbua .
Wengi hasa Tanzania wanakuwa wametumika Sana kama hajazaa ujue ameshatoa mimba n, P2 n.k
Nb nazungumzia wanaotafuta ndoa
Hakikisha October unatikiKwani leo Shida ni gani? Mbona nyuzi nyingi za wanawake na Umri 🤔
Wazee wenyewe unadhani wanakubali? Wanataka wabichiKama Mwanamke ana miaka kuanzia 30 , wewe Kama Kijana huyo Mwanamke achana nae atakusumbua .
Wengi hasa Tanzania wanakuwa wametumika Sana kama hajazaa ujue ameshatoa mimba n, P2 n.k
Nb nazungumzia wanaotafuta ndoa
Wazee ambao hawana helaWazee wenyewe unadhani wanakubali? Wanataka wabichi
Formula ya ndoa anaijua Mungu mwenyewe kwani wengine hawatafuti wanaume na wanazaidi ya 30s sio walevi wala Malaya lakini hawajaolewaKama Mwanamke ana miaka kuanzia 30 , wewe Kama Kijana huyo Mwanamke achana nae atakusumbua .
Wengi hasa Tanzania wanakuwa wametumika Sana kama hajazaa ujue ameshatoa mimba n, P2 n.k
Nb nazungumzia wanaotafuta ndoa