Mwanamke kama hauolewi ebu angalia kwanza mdomo wako

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Ikiwa Mdomo wako hautulii basi kuolewa na smartest man sio rahisi .


Rekebisha mdomo , ongea mambo ya msingi ,acha kufatilia umbea na trending.

Acha kulalamika.

Wanawake wengi ambao wameshindwa kuolewa ni mdomo tu , mambo ya kuwa singo maza n.k nyongeza

Rekebisheni mdomo , value man mtawpata na nyie muishi peacefully
 
 

Attachments

  • 5712471-53c2729bd6e2ddffcd44b41bfdaca625.mp4
    2.2 MB
Uzuri wa domo ili uweze kuufanyia marekebisho lazima uanzie katika ubongo sasa you can't pretend

Kilichojaa kichwani ndo utaongea tu
That is way wakiacha umbea, kufatilia trending wataanza kuzinoa bongo zao I'll wafikie hatua inayokubalika to be marriageable (kuoleka)

min -me
 
Mkuu sasa ndoa siku hizi ni sifa na kitu cha kujivunia?

View: https://youtu.be/hkjZAFqPil8?si=xcu3FHLPEK3UspZ-
 
Mkuu GT. Ndoa nyingi baada ya miaka miwili ni maigizo tu. Ukitaka kujua tabia ya mtu ishi naye. Mimi Mungu namshukuru yani kuna siku frying pan ilitupwa kwa kishindo ikanikosa kichwa na kugonga ukuta hadi kuacha nyufa. Ingenipata singepona na ningepona ningekuwa na a broken skull.

Pia murder suicide Mungu kaniepusha sana. Sasa hivi am very happy single. napiga bangi zangu na sigara kwa amani balcony yani always in a good mood.
 
Uongo mtupu

Wanaume wenyewe wanalalamika wake zao wana midomo sasa hao waloolewa ni wa wapi??????
 
kwamba mdomo unatoa harufu mbaya na kali au unato maneno ya hovyo yasiyo faa?

uzuri wa mwanamke sio urembo ni tabia....
vijana wajanja wa kusasa wanazingatia sana hilo.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…