Mwanamke kama hauolewi ebu angalia kwanza mdomo wako

Mwanamke kama hauolewi ebu angalia kwanza mdomo wako

Mkuu GT. Ndoa nyingi baada ya miaka miwili ni maigizo tu. Ukitaka kujua tabia ya mtu ishi naye. Mimi Mungu namshukuru yani kuna siku frying pan ilitupwa kwa kishindo ikanikosa kichwa na kugonga ukuta hadi kuacha nyufa. Ingenipata singepona na ningepona ningekuwa na a broken skull.

Pia murder suicide Mungu kaniepusha sana. Sasa hivi am very happy single. napiga bangi zangu na sigara kwa amani balcony yani always in a good mood.
Kumbe na vibibi vya kizungu vinazingua eeeh?!!
 
sasa wewe oa mdomo 🐒
[Swahili]
Title:
Mwanamke, Mdomo Wako Ni HATARI Kwa NDOTO Yako?

Umewahi kujiuliza kwanini bado hujaolewa? Je, unajua kuwa mdomo wako unaweza kuwa kikwazo kikubwa katika ndoto yako ya kupata mwenza? Sio siri kwamba wanaume wanathamini mwanamke mwenye busara na maneno mazuri. Acha kulalamika, kuongea sana, na kueneza umbea. Badala yake, zingatia kujenga akili yako na kuongea mambo ya maana. Kumbuka, akili iliyojaa ndio hutoa maneno yenye hekima. Jiulize, "Je, mdomo wangu unanikwamisha?" Anza leo kujenga mdomo unaovutia na kuongeza thamani yako.

[English]
Title:
"Woman, Is Your Mouth Dangerous to Achieving Your Dreams?"

Have you ever wondered why you're not married yet? Did you know your mouth could be a major obstacle to your dream of finding a partner? It's no secret that men value a woman with wisdom and kind words. Stop complaining, talking too much, and spreading gossip. Instead, focus on building your intellect and speaking meaningfully. Remember, a full mind speaks wise words. Ask yourself, "Is my mouth holding me back?" Start today to cultivate an attractive way of speaking and increase your value.

View: https://www.youtube.com/shorts/BUinYjmuKyg
 
Mkuu GT. Ndoa nyingi baada ya miaka miwili ni maigizo tu. Ukitaka kujua tabia ya mtu ishi naye. Mimi Mungu namshukuru yani kuna siku frying pan ilitupwa kwa kishindo ikanikosa kichwa na kugonga ukuta hadi kuacha nyufa. Ingenipata singepona na ningepona ningekuwa na a broken skull.

Pia murder suicide Mungu kaniepusha sana. Sasa hivi am very happy single. napiga bangi zangu na sigara kwa amani balcony yani always in a good mood.
Haha ni hatari
Si ungekufa mkuu
Mm naona karne hii sio ya kukimbillia ndoa mwanamke inabid ujue nn unatakiwa kufanya na ujue mipaka Yako na mwanaume ajue nn maana ya kuwa mume, Ili uwe na ndoa yenye amani otherwise ni kilio
 
Wala si ukali RR, kuna tabia za kike mojawapo ni hiyo kuongea ongea. Kuhusu kuropoka na mazingira mhusika anapoongea inabaki ni busara ya mhusika...
Kuna siku rafiki yangu mmoja West Indian alinialika kwenye party yao, nikafika pale nikawaka
Mimi: Damn there are some nice ladies in here
Jamaa: Dey a' ol nice till dey open dey mout' (in west Indies accent)

Hii kauli siisahau, nimegundua in apply kwa wanawake wengi.
 
😂😂😂 nimecheka!

Na ni kweli, katika hili sitaki kumdanganya wala kumnafikia yeyote. Shida inaanziaga pale ambapo watu hupretend kutokuwa na tabia fulani ili apate kitu fulani, akishapata sasa!!!

Kuna tabia ni za kijinsia, ni sawa na mwanaume na mabavu, nyie kuna muda mnaignore hata fact iliyowazi kabisa na kuapply ubabe 😀. Mi huishia kucheka na kujisemea naona ego imeamua kumvaa mtu jumla jumla!

So yeah! Ukiamua kuishi na jinsia tofauti lazima kuexpect tabia ya jinsia husika. Ndio maana at all huwa siwashangai team kataa ndoa 🤣 kama mtu hawezi kudeal na jinsia pinzani kwanini ateseke??
 
Wala si ukali RR, kuna tabia za kike mojawapo ni hiyo kuongea ongea. Kuhusu kuropoka na mazingira mhusika anapoongea inabaki ni busara ya mhusika...
Kuna mkaka niliona video anasema kuropoka ni haki ya msingi ya mwanamke ukitaka kumwin msiikilize mazungumzo yake yasiyo na kichwa Wala miguu 😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom