binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Kumbe na vibibi vya kizungu vinazingua eeeh?!!Mkuu GT. Ndoa nyingi baada ya miaka miwili ni maigizo tu. Ukitaka kujua tabia ya mtu ishi naye. Mimi Mungu namshukuru yani kuna siku frying pan ilitupwa kwa kishindo ikanikosa kichwa na kugonga ukuta hadi kuacha nyufa. Ingenipata singepona na ningepona ningekuwa na a broken skull.
Pia murder suicide Mungu kaniepusha sana. Sasa hivi am very happy single. napiga bangi zangu na sigara kwa amani balcony yani always in a good mood.
Kuna kuongea na kuropoka. Binti leo umekuwa mkali.Naona mnataka tuwe wanaume... mwanamke unamtenganishaje na kuongea?
Kikubwa asiyeweza kuoa mwanamke na asioe au aoe wanaume mwenzie.
Women tununue tu magari.....au sioOhoooo! It's women again.
Rudia tena kusoma post #1.uzuri wa mwanamke sio urembo ni tabia....
sasa wewe oa mdomo πRudia tena kusoma post #1.
Kwa kweli nunueni tu magari msiwe mnaonekana hovyoWomen tununue tu magari.....au sio
[Swahili]sasa wewe oa mdomo π
Haha ni hatariMkuu GT. Ndoa nyingi baada ya miaka miwili ni maigizo tu. Ukitaka kujua tabia ya mtu ishi naye. Mimi Mungu namshukuru yani kuna siku frying pan ilitupwa kwa kishindo ikanikosa kichwa na kugonga ukuta hadi kuacha nyufa. Ingenipata singepona na ningepona ningekuwa na a broken skull.
Pia murder suicide Mungu kaniepusha sana. Sasa hivi am very happy single. napiga bangi zangu na sigara kwa amani balcony yani always in a good mood.
Kataa ndoa mwandamiziNi huzuni sana
Bora umekuwa muwazi aisee.Kushoto ni ambae hapendi umbea na yupo smarter , kulia ni mmbea na anaefuatilia ubuyu, kwa kweli nisiwe mnafki huyo wa ubuyu ndio changuo langu na katoka ubavuni mwangu kabisa πView attachment 2989979
Wala si ukali RR, kuna tabia za kike mojawapo ni hiyo kuongea ongea. Kuhusu kuropoka na mazingira mhusika anapoongea inabaki ni busara ya mhusika...Kuna kuongea na kuropoka. Binti leo umekuwa mkali.
Hilo domo limenyonya mboo nyingi kuliko hata ice cream za azamHawa ndo waonataka kuolewa
Kuna siku rafiki yangu mmoja West Indian alinialika kwenye party yao, nikafika pale nikawakaWala si ukali RR, kuna tabia za kike mojawapo ni hiyo kuongea ongea. Kuhusu kuropoka na mazingira mhusika anapoongea inabaki ni busara ya mhusika...
πππ nimecheka!Kuna siku rafiki yangu mmoja West Indian alinialika kwenye party yao, nikafika pale nikawaka
Mimi: Damn there are some nice ladies in here
Jamaa: Dey a' ol nice till dey open dey mout' (in west Indies accent)
Hii kauli siisahau, nimegundua in apply kwa wanawake wengi.
Kuna mkaka niliona video anasema kuropoka ni haki ya msingi ya mwanamke ukitaka kumwin msiikilize mazungumzo yake yasiyo na kichwa Wala miguu ππππWala si ukali RR, kuna tabia za kike mojawapo ni hiyo kuongea ongea. Kuhusu kuropoka na mazingira mhusika anapoongea inabaki ni busara ya mhusika...