Mwanamke kama hauolewi ebu angalia kwanza mdomo wako

Mkuu wakiacha kufunguka hauoni watakua wanatuigizia tu ili tu waolewe ? Bora wafunguke ili wanaopenda ndoa wasijekulalamika wameuziwa mbuzi kwenye gunia .
Kila kitu kifanywe kwa kiasi maana hakuna kilicho na faida kisiwe na hasara.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…