shido ipoHahahaha
Kwani Kuna shido...?
Unasema ukweli binti! Mimi nakumbuka mchumba wangu kipindi hicho yuko first year kasema shuttle za mabibo chuo shida nikamnunulia IST! Hiyo hela nilikopa benki (top up) ili nimpate huyu binti! Hata hivyo sijuii gharama maana ni mamsapu kwelikweli! 😂😂😂Kipindi cha uchumba: ushatolewa posa mwenyewe unangoja kufunga ndoa aisee hiki kipindi binafsi nilienjoy sana na sio Mimi tu Bali wanawake wengi hufurahia kipindi hiki..
Kipindi cha mimba: mwanamke kama huku enjoy kipindi una mimba (hasa mimba ya kwanza) my dear huto enjoy milele😄
Hiki kipindi hata utake matikiti
yalochemshwa unapata😄
Utake nini usipewe...
Muwe na j3 njema.
Matikiti yaliochemshwa 😂Hiki kipindi hata utake matikiti
yalochemshwa unapata😄
Utake nini usipewe...