Mwanamke, kama hukuenjoy nyakati hizi, hutoenjoy milele

Mwanamke, kama hukuenjoy nyakati hizi, hutoenjoy milele

Unasema ukweli binti! Mimi nakumbuka mchumba wangu kipindi hicho yuko first year kasema shuttle za mabibo chuo shida nikamnunulia IST! Hiyo hela nilikopa benki (top up) ili nimpate huyu binti! Hata hivyo sijuii gharama maana ni mamsapu kwelikweli! 😂😂😂
Eeh hatariiiiii ulimnunulia pira kabisa😊
 
Mkishaingia mnakumbuka ma X mnavunja ndoa; Mwanamke ni kiumbe cha ajabu sana!
 
Kipindi cha uchumba: ushatolewa posa mwenyewe unangoja kufunga ndoa aisee hiki kipindi binafsi nilienjoy sana na sio Mimi tu Bali wanawake wengi hufurahia kipindi hiki..

Kipindi cha mimba: mwanamke kama huku enjoy kipindi una mimba (hasa mimba ya kwanza) my dear huto enjoy milele😄
Hiki kipindi hata utake matikiti
yalochemshwa unapata😄
Utake nini usipewe...

Muwe na j3 njema.
Kipindi cha uchumba ni km kipindi cha maandalizi ili nikugegede vizuri kipindi cha ujauzito nimeshakupanda na mbegu inachipua lazima niitunze ili matokeo yawe mazurii..
 
Back
Top Bottom