Kuna mwanamke nipo nae kwenye mahusiano kuna mpango tumepanga kila siku nikiongea nae namkumbusha. Sasa jana nime mkumbusha , akanikasirikia kabisa anasema ",nimeshaona kuwa siaminiki wewe mtu kila siku tunaongea mambo hayohayo lakini bado unanisisitizia kiasi ambacho naona kabisa huniamini kwa kinachoendelea sasa wewe utaamua wewe me nishachoka sasa nitatulia tuu.
Ilikua ni usiku nikamtumia sms hajibu nikipiga hapokei ilivyo fika asubuhi nikampigia akapokea alafu akakata simu akaandika sms "Niache nitulie kwanza nina hasira nisije nikakujibu vibaya" nika mpigia simu akakata akazima na simu kabisa hadi sasa.
Naombeni ushauri hivi itakua ni kwa sababu ya kumsisitizia tu au kutakua na kitu kingine hapa au anatafuta sababu ya kuniacha tu?