Mwanamke kuchora Tattoo...

Mwanamke kuchora Tattoo...

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
21,952
Reaction score
43,265
Hakuna kitu kinanikata mzuka na hisia Kama nkiona mdada aliechora tattoo na Kuvaa kikukuu yanii hata akiwa Vipi naona ni Malayaa tuu na muhunii pia maadili Zerooo...!! Kama wew mdada unajielewa na kujiheshimu usifanyee hayaa yanakuaribia sanaa
IMG_20180921_112547_867.jpg
 
Alafu izi tattoo zao , wakishafikisha miaka 35+ ndo wanaanza kuzichukia .

Ujana bana, ukiuchezea ,utakujutisha baadae...

Embu fikiria unakufa Ghafla una boonge la Tattoo juu ya Kiuno daaah.
 
Kuna kaukweli hapa.
Jana wakati natoka mihangaikoni nipo ndani ya public transport namuona mdada kwa pembeni amechora tattoo kwenye ziwa, na kwenye miguu.Nilivyomuona tu nikavuta picha jinsi mchoraji alivyoshika ziwa la yule mdada mpaka kumaliza kuchora.Kiukweli sina mzuka kabisa na mwanamke anaechora Tattoo na kuvaa kikuku.
 
Sasa kama mtu anavua nguo zake, nakubaki uchi, kisha achorwe kwa Titi au Tako,au ndan ya paja zake au juu eneo la mavuzi ,....??

Hamna kitu hapo ,kichwan nisifuri ,hamna kingine !!

Sema nn ndo unakuta ni maisha waloyachagua !!
 
personally sina tatizo sana but depends on hyo tatoo kachora wapi
kachora kwenye titi,matakoni au uchi hell no kafie mbele
 
Sio wanawake tu hata wanaume pia huu mtindo unakuwa kwa kasi sana tena ya ajabu
 
Write your reply...ika tatoo zingine zinachorwa sehemu mbaya hadi unawaza alivyokuwa akichorwa mchoraji sijui alikuwa ktk hali gani!
 
Back
Top Bottom