Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kaukweli hapa.Wanawake wanaochora Tattoo wengi wao ni wadangaji.
Jana wakati natoka mihangaikoni nipo ndani ya public transport namuona mdada kwa pembeni amechora tattoo kwenye ziwa, na kwenye miguu.Nilivyomuona tu nikavuta picha jinsi mchoraji alivyoshika ziwa la yule mdada mpaka kumaliza kuchora.Kiukweli sina mzuka kabisa na mwanamke anaechora Tattoo na kuvaa kikuku.Kuna kaukweli hapa.
Sasa kama mtu anavua nguo zake, nakubaki uchi, kisha achorwe kwa Titi au Tako,au ndan ya paja zake au juu eneo la mavuzi ,....??Jana wakati natoka mihangaikoni nipo ndani ya public transport namuona mdada kwa pembeni amechora tattoo kwenye ziwa, na kwenye miguu.Nilivyomuona tu nikavuta picha jinsi mchoraji alivyoshika ziwa la yule mdada mpaka kumaliza kuchora.Kiukweli sina mzuka kabisa na mwanamke anaechora Tattoo na kuvaa kikuku.
NaamHakuna kitu kinanikata mzuka na hisia Kama nkiona mdada aliechora tattoo na Kuvaa kikukuu yanii hata akiwa Vipi naona ni Malayaa tuu na muhunii pia maadili Zerooo...!! Kama wew mdada unajielewa na kujiheshimu usifanyee hayaa yanakuaribia sanaaView attachment 873098